Niko hapa kutafuta Mke halali wa ndoa

Niko hapa kutafuta Mke halali wa ndoa

STUNI

New Member
Joined
Mar 23, 2023
Posts
1
Reaction score
2
Naishi Dar es Salaam
Nina watoto 3
Nafanya kazi na Biashara
Elimu ya chuo
Umri wangu 42
Dini Yangu Mkristo.

Niko hapa kutafuta Mke halali wa ndoa,
Umri kuanzia miaka 30+
Asiwe na mtoto/watoto (kifurushi changu cha watoto bado hakijaisha)
Dini yoyote
Elimu yoyote,
Sio lazima awe na kazi,
Napendelea mke awe mwenyeji kutoka Iringa, Morogoro,Mbeya, Dodoma na Songea
Awe anapatikana Hapa hapa DSM.

KWAKO MKE, NJOO PM TUYAJENGE.
 
Dada zangu wa late 80s njooni mnahitajika hapa.

Ila Bro wewe mbinafsi sana, hutaki kabisa dada aje na mtoto 😂😂
 
Yale yaleee.......
Mwanaume akiwa na mtoto utasikia "mwanangu nataka umlee kama mwanao sitaki umnyanyase"

Ila mwanamke akiwa na mtoto ataambiwa, "kama unataka nikuoe mpeleke huyo mtoto kwa baba yake au kwa bibi yake, siwezi kulea mtoto wa mwanaume mwenzangu!"

Haya bhana, kila la heri!
 
hata kama huna mtoto huyu sio wa kukuoa, mtu mbinafsi muogope
 
Wewe una Watoto lakini hutaki mwenye Mtoto/Watoto siyo powa kabisa, kila lakheri kwako.
 
hata kama huna mtoto huyu sio wa kukuoa, mtu mbinafsi muogope
Kwa kweli,ndo has wanaosema humpendi mwanangu.Yaani mtoto miaka 14 anakojoa ndani ukimsema,kosa.kwa kweli sometimes wababa ni shida
 
Back
Top Bottom