hata kama huna mtoto huyu sio wa kukuoa, mtu mbinafsi muogopeYale yaleee.......
Mwanaume akiwa na mtoto utasikia "mwanangu nataka umlee kama mwanao sitaki umnyanyase"
Ila mwanamke akiwa na mtoto ataambiwa, "kama unataka nikuoe mpeleke huyo mtoto kwa baba yake au kwa bibi yake, siwezi kulea mtoto wa mwanaume mwenzangu!"
Haya bhana, kila la heri!
Kwa kweli,ndo has wanaosema humpendi mwanangu.Yaani mtoto miaka 14 anakojoa ndani ukimsema,kosa.kwa kweli sometimes wababa ni shidahata kama huna mtoto huyu sio wa kukuoa, mtu mbinafsi muogope