Niko hapa namuangalia Vini Jr, aisee bonge la mchezaji

Niko hapa namuangalia Vini Jr, aisee bonge la mchezaji

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kati investment nzuri waliowahi kufanya madrid ni kumsajili vinicius toka brazil, alianza kwa kususua sana ila sasa ni bonge la player, ana speed, mbunifu, technical, ana nguvu, aisee yuko poa.

Namuangalia hapa, Celta Vigo vs Real Madrid.
 
Back
Top Bottom