kaka swali dogo unakuwa bubu je siku ukiulizwa swali gumu itakuwaje? hapo kuna mashaka au ulikuwa umeopoa ndo maana hukupokea cm? afu unakuja juu ili kujisafisha uonekane huna kosa, unamjengea mazingira ya kutoulizwa swali ili hata siku ukifanya madudu aogope. ingekuwa mie ungejibu muda uleule na kuomba msamaha pia.
Hata ungepokea simu angkuuliza maswali hayo hayo, sasa basi kwasababu hukupokea simu ndo sababu akaamua akuulize thr sms. Na huo ugomvi wewe ndo unauleta kama kweli nampenda na unafuture nae why usimjibu? mbona ni maswali ya kawaida sana kwa wapendanao
Kama unampenda kweli hayo maswali majibu yake ni mepesi sana. Kwa kuleta hapa JF ina maana una doubt na mahusiano yenu. Nakushauri achana na huyu binti huna mpango naye unampotezea muda!!! Enjoy your weekend!!!!