Niko kwenye maandalizi ya siku ya kuzaliwa ya baby wangu JJE'S

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu

Niko kwenye maandaliz ya kuandaa sherehe ya siku ya kuzaliwa ya baby wangu jjes

December 16 ndo ulizaliwa na ndo utaongeza na kutimiza miaka kazaa

Nakuombea hiyo tarehe ufike ukiwa salama na mzima wa afya jaman baby wangu jje's

Jiandae kupokea ufunguo wa BMW siku hiyo maana ndo zawad niliyokuandalia kipenz


LONDON BABY
 
Isije ikawa kama mambo ya dokta L. Shika, yono wanalia saiz, sasa na wewe usije mliza dada wa watu.

Ka nakuona utavomwambia " baby naona gari la BMW litapendeza zaidi "" hahahaaa, vyuma vimekaza bt wanaume mnajifanya hamtaki kuacha kujitutumua, mwenzio yuko central saiz anahesabu chawa.
 
Mkuu matajir kama mimi huwa hatupimwi kwa macho

Yeye mwenyewe anayajua mambo yangu
 
Mara ya mwisho.mkuu umemsaidia mtu mwenye uhitaji wa msaada wa kifedha kama mkopo, matibabu, lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…