Niko kwenye maandalizi ya siku ya kuzaliwa ya baby wangu JJE'S

wooow, i must be a luckiest woman ever maana naona duuuh hilo BMW nitahitaji ulinzi kabisa

asante dear maana sio kwa maandalizi ya mapema hivi loooh asante sana
 
Ukiasha amka usisahau Kumpiga mswaki mkuu ..
.. halafu umesahau kutuhadithia Ndoto nyingine uliyoota kuwa JIWE amekuteua uwe MKURUGENZI
 
Ukiasha amka usisahau Kumpiga mswaki mkuu ..
.. halafu umesahau kutuhadithia Ndoto nyingine uliyoota kuwa JIWE amekuteua uwe MKURUGENZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…