Niongezee neno lingineWacha weeh, kumbe na wewe unaijua International dialect.
Hayo yanatosha, ukitaka kufundishwa zaidi ni mpaka uwolewe na Mangi.Niongezee neno lingine
sijambo bby love, mimi siwezi fanyia yeye hayo mambo ulosemaAje kuona venye unampanga hahaa!
Mie sijambo sijui wewe
haya my kaka nimekupata vilivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilishasema ruhusa yangu inaishia sebleni pekee, huko kwingine ni kujiongeza.
hahahahaha siamini aiseee nimeshaanza kuona chenga chengaHahaha labda alikusubiri hukutokea, akaamua akutunzie kwa ajili ya mwaka huu.
Nakuona Honeymy kaka, si unajua ile mbusi ya msacha ushakamata? sitaenda pengine vingine ni mbwembwe tu
CC Kichwa Kichafu
😉Aje kuona venye unampanga hahaa!
Mie sijambo sijui wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Khaa Kumbe Hapa Ulinitag mwaka Jana Kabisa kipenz
Ndio Nimesikia Leo
yes bby, i jus wanna my kaka to rememberNakuona Honey