Rostam anadai kuwa hakutendewa haki ya kupelekewa barua 24/12/2007 .anadai yeye anatafutwa kwa apointments na huwa siku za sikuku huwa anapumzika .
Mwakyembe anajibu kuwa wao kama kamati hawakupewa siku za kupumzika ama za sikukuu kwani walipewa siku 45 na silihusisha siku zote bila kujali sikukuu.