Habar zenu; nilipomaliza form six sikuenda kuchukua cheti changu; sasa yapata miaka miwili toka nimalize chuo; naona Kama ntakihitaji kwa haraka na sasa Niko mbali na mkoa huo; je kunataratibu zozote naweza Fanya nikatumiwa hicho Chet kutoka shuleni;
Nb; nimeitwa interview serikalin vyeti vingine vyote ninavyo kasoro hicho cha six ; wanaweza kunikubalia kweli kunipa kazi au nifanye vp?
Shukran
Nb; nimeitwa interview serikalin vyeti vingine vyote ninavyo kasoro hicho cha six ; wanaweza kunikubalia kweli kunipa kazi au nifanye vp?
Shukran