Niko mbali; Je naweza tumiwa cheti changu kutoka shule

yaasary

Senior Member
Joined
Mar 26, 2011
Posts
110
Reaction score
59
Habar zenu; nilipomaliza form six sikuenda kuchukua cheti changu; sasa yapata miaka miwili toka nimalize chuo; naona Kama ntakihitaji kwa haraka na sasa Niko mbali na mkoa huo; je kunataratibu zozote naweza Fanya nikatumiwa hicho Chet kutoka shuleni;

Nb; nimeitwa interview serikalin vyeti vingine vyote ninavyo kasoro hicho cha six ; wanaweza kunikubalia kweli kunipa kazi au nifanye vp?
Shukran
 
its easy kama kuna rafk aliye karbu mtumie fax yenye barua yako yenye picha'barua ya srkl ya mtaa.id ya shule kama bado unayo na results slip copies naye raki aende na id yoyote atasain akuchukulie
 
its easy kama kuna rafk aliye karbu mtumie fax yenye barua yako yenye picha'barua ya srkl ya mtaa.id ya shule kama bado unayo na results slip copies naye rafki aende na id yoyote atasain akuchukulie
 
hakikisha hudaiwi...but inategemeana na hm....wengine hawatoi hadi ukifuate mwenyewe
 
its easy kama kuna rafk aliye karbu mtumie fax yenye barua yako yenye picha'barua ya srkl ya mtaa.id ya shule kama bado unayo na results slip copies naye raki aende na id yoyote atasain akuchukulie

Thanks; ngoja nijaribu
 
its easy kama kuna rafk aliye karbu mtumie fax yenye barua yako yenye picha'barua ya srkl ya mtaa.id ya shule kama bado unayo na results slip copies naye rafki aende na id yoyote atasain akuchukulie

Au nikitumia mzazi inaweza kuwa rahisi; maana ndo wako karibu na shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…