Niko Mbezi Afrikana Juliana pub, wanaosema vyuma vimebana ni wango watu wanakula bata bhana!

Niko Mbezi Afrikana Juliana pub, wanaosema vyuma vimebana ni wango watu wanakula bata bhana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naona huku kanda ya Kawe kwa Halima Mdee mambo ni shwari kabisa vyuma havijakaza wala nini watu .......mambo ni kazi na bata kwa kwenda mbele.

Usiku mwema!
 
Vyuma vimekaza upande huu kwetu uku muda huu wote ndani, usije jikuta umekula nauli ya kwenda kibaruani kesho.

Usiku mwema
 
Wewe bwege umeona kunywa pombe kwenye pub ndio everything. Shame on you. You are destroying your body and life with those intoxicants.
 
Wewe bwege umeona kunywa pombe kwenye pub ndio everything. Shame on you. You are destroying your body and life with those intoxicants.
Hahaha mwenzio katoka kufanya research wewe wamuita bwege.
 
Ata kwetu masaki vyuma havijakaza wala Nini nipo na mtoto mkali wa kifilipino tunakula upepo wa bahari ni mwendo wa Bata na nyama ya kanga.

Kumbe nipo kwetu maji matitu nagombea kiporo Cha ubwabwa na wadogo zangu.🤣🤣🤣🤣🤣

Social network hatari sana
 
Back
Top Bottom