Niko Mwanza: Natafuta Ng'ombe wa maziwa mwenye mimba

Niko Mwanza: Natafuta Ng'ombe wa maziwa mwenye mimba

Kwa Mwanza sijui ila najua Iringa, kwa Iringa kuna mzungu hua anauza ng'ombe wa kisasa wa maziwa wenye mimba Shilingi million 3.

Ng'ombe wake ni wazuri na wanatoa maziwa kwa wingi.
 
Mkuu hapohapo Mwanza nadhani wilaya ya misungwi kuna Lunch kubwa inaitwa MABUKI ipo barabarani hapo utapata Ng'ombe,mbuzi ,wako vizur hutojuta
 
No cyo asas ni mzungu mwngne ako na runch yke. Baba angu yy ndo alinunuaga ng'ombe kwake, kma utaitaji nkupe mawasiliano nae umchek
Anaitwa kibebe mi nilinunua 3.5mil
 
Mkuu hapohapo Mwanza nadhani wilaya ya misungwi kuna Lunch kubwa inaitwa MABUKI ipo barabarani hapo utapata Ng'ombe,mbuzi ,wako vizur hutojuta
Bro mabuki???
Usimpeleke tango mwenzako
Kama yupo serious aende hapo Iringa
Mi ninao ndama ila bei hatoweza
 
Mkuu hapohapo Mwanza nadhani wilaya ya misungwi kuna Lunch kubwa inaitwa MABUKI ipo barabarani hapo utapata Ng'ombe,mbuzi ,wako vizur hutojuta
Mabuki ni ng'ombe wazuri kwa sura maziwa ni sawa na wakienyeji hata uwalishe vipi
 
Anaitwa kibebe mi nilinunua 3.5mil
yeah ni kwel anaitwa kibebe, mzee wng alchukua apa ng'ombe wake ni wazur, ka uko na namba ya uyo kibebe mpatie uyo jamaa anayeitaj mana me mzeee wng nlmchek kumuliza izo namba hana kwa Sasa alizipoteza
 
Back
Top Bottom