Niko na cold war na mpangaji mwezangu. Nifanyeje??

umekosea shart mojawapo la wapangaji"KATIKA NYUMBA YA KUPANGA EPUKA KUMTAMANI,KUMTONGOZA NA KUMTAKA KIMAPENZI MPANGAJI MWENZAKO" ukikiuka hayo huwezi kuishi kwa amani kwenye nyumba ya kupanga kamwe
 
Mimi nikutokea nyamuswa, nmesomea kibondo shule moja inaitwa Malagarasi, kwakweli waha wanatuogopa sana watu wa mara.
 
Mimi nikutokea nyamuswa, nmesomea kibondo shule moja inaitwa Malagarasi, kwakweli waha wanatuogopa sana watu wa mara.

Haswa Mkuu pamoja na kusifika na ' Uchawi ' wao ILA kwa WANAMUME na WANAWAKE wa SHOKA kutoka Kwetu Mkoani Mara wenyewe huwa ' wananyoosha ' mikono. Wapo humu hawa Watani zetu Washamba ' Waha ' hivyo ni imani yangu watakuja kwa wingi ' kutiririka ' zaidi.
 
Aisee, yaani mko kwenye vita baridi halafu akamtafune?? [emoji144] [emoji144]

Hiyo inaitwa chapa ilale au kata funua.[emoji23][emoji23][emoji23].angemtafuna kiana mbona vijembe na roho mbaya zingeishaa..

Na chakula angekuwa anapikiwa ila limbwata lazima litahusika[emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo achangamkie fursa ee
 
Nilikuwa nikiacha hata sabuni bwenini pale nazikuta, wanaambizana achaneni na vitu vya hili likurya hili.
 
Na wakifanya kosa hata kama wamemzingua mwingne, nilikuwa naingilia kati napga mikwara kishenz wakati hata nguvu sina na wananywea kishenzi
 
Hili ni jambo dogo sana ila wewe unalikuza. Ili maisha yasonge afya njema inahitajika, utulivu wa akili na nafsi, amani iwepo moyoni, pumziko hasa uwapo sehemu ya kupumzikia na naamini ni hapo ulipopanga.
Kuvipata vyote hivyo unafanyaje? Je kwa hapo inawezekana tena au ndio basi? Changanya na zako.
 
Peleka faili lake kwa mange kimambi kisha asubuhi jaifanye unsoma mange kwa sauti
 
we chakufanya nipee namba yake nimwambiaa aachee tabia mbayaaa hiyooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…