Niko na cold war na mpangaji mwezangu. Nifanyeje??

Niko na cold war na mpangaji mwezangu. Nifanyeje??

chalii hama halafu gesi ikiisha usinunue tena,,. halafu huyo mpangaji mwenzio anakupenda kimapenzi
 
Yani ili kuweka mambo sawa ulitakiwa ushambulie home kwanza kabla ya hao wa nje
 
Mkuu chuon kuna mengi sana.....lait tunayoyafanya vyuon wazazi halisi wangekua wanaona huko waliko basi wangekua dis appointed to the extent ya kutopeleka wadogo zetu vyuoni.

Ni funzo mkuu tusile tena malaya maana tukigusa tu asa hv tuna ukwaa
Nimeanza kazi nikaapa sitatongoza tena ila sasa tamaa inaninyemelea tena kila skipita mfanyakazi natoa mate..
 
Nilitaka niseme umgegede ...kumbe Dada poa. ...achana nae we hama tafuta ghetto jingine...ndo shida ya kukaa nyumba za kupanga na wana wake....ndo maana mi maghetoni huwa nakaa na wahuni tuu....sitaki kukaa na mademu
 
Ukishindwa yote nyoa panki kama la KIM.
 
Haahahhahha Mkuu nmekula sana malaya akati niko college had nkahisi niko POSITIVE. NmeApa kutokuwala tena baada ya kupima mar mbili sehem mbili tofaut hv karibun na kujikuta niko salama.

Ila angekua dem wa kawaida maybe ningemla.
Ukimwi ni kama mafua tu... Acha uoga mtoto wa kiume
 
Back
Top Bottom