Mtaji wa Tshs ngapi?Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni Aina tatu nazo ni sabuni za miche, sabuni za maji, sabuni za unga, pamoja na mufata ya mgando na lotion tofauti tofauti. Ila mpaka sasa nimebaki na ujuzi mtaji sina hivyo naomba kwa mwenye kuvutiwa na hili njoo tufanye biashara
View attachment 2926517
Techinolojia ta kuzalisha sabuni ni moha ya Techinolojia rahisi sana, sio ajabu wewe kujua,Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni Aina tatu nazo ni sabuni za miche, sabuni za maji, sabuni za unga, pamoja na mufata ya mgando na lotion tofauti tofauti. Ila mpaka sasa nimebaki na ujuzi mtaji sina hivyo naomba kwa mwenye kuvutiwa na hili njoo tufanye biashara
View attachment 2926517
Wewe unaijua?.Techinolojia ta kuzalisha sabuni ni moha ya Techinolojia rahisi sana, sio ajabu wewe kujua,
Uko wapi wewe? Njoo pm.Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni Aina tatu nazo ni sabuni za miche, sabuni za maji, sabuni za unga, pamoja na mufata ya mgando na lotion tofauti tofauti. Ila mpaka sasa nimebaki na ujuzi mtaji sina hivyo naomba kwa mwenye kuvutiwa na hili njoo tufanye biashara
View attachment 2926517
Karibu uje ufundishe vikundi vya akina mama na vijana. Nitafute kwa maelezo zaidi 0752042570Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni Aina tatu nazo ni sabuni za miche, sabuni za maji, sabuni za unga, pamoja na mufata ya mgando na lotion tofauti tofauti. Ila mpaka sasa nimebaki na ujuzi mtaji sina hivyo naomba kwa mwenye kuvutiwa na hili njoo tufanye biashara
View attachment 2926517
Very smart mkuuEmbu niachie namba yako PM au njoo PM tumalize kibingwa boss .
Kwa huo ujuzi naogopa hata kusema uwe chini yangu itabidi nitoe mtaji ila uwe boss wangu maana nikikuudhi haukawii kuondoka na maarifa yako.
Umemshauri vizuri sana. God bless you.Hongera sana ndugu yangu
Kwanza usianze na bidhaa nyingi anza na sabuni za kipande kwanza na ninauhakika mtaji hauzidi laki moja
anza mdogo mdogo huku ukiwa na malengo ya kufika mbali, wengi tumeanzia huko mpaka sasa tumeongeza some % ya ajira kwa vijana
usikate tamaa kizembe weka malengo yanayofilika na timeframe usijiendee endee tu
kuna msemo naupendaga sana unasema If you dont know where to go any road will take you there
all the best