Niko na wadau wa THIS wananipa stori, hali ya UKIMWI inatisha

Niko na wadau wa THIS wananipa stori, hali ya UKIMWI inatisha

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Aisee hali inatisha wakuu vijijini kiasi cha maambukizi kinatisha kinazidi kuongezeka takwimu zitatoka mtaona.

Shida ni hawa machangudoa wa kutoka Dar wanaleta vimelea mikoani, mfano msimu wa mavuno siku hizi mikoa ya Lindi Na Mtwara na wilaya ya Tunduru kwa sasa hali sio nzuri uchafu wa kila dizaini.

Nawasihi acheni kufanya ngono zembe wakuu nawapa tena msisitizo acheni hali sio nzuri kuna homa ya ini Na TB pia watu wameshanasa.

Sina mengi ya kusema najua nowdays Mna mambo mengi. THIS wananiambia hali sio poa wanafanya vipimo vijijini hali sio mbaya ila kwa mjini waliweka kambi mbangala na mbezi aisee mpaka wanafunzi wa form two waliotoka na bodaboda wana UKIMWI ila kwa dar wengi wanatumia dawa.

Sina mengi ya kusema andaeni wapenzi wengi vizuri na hakikisheni mnatumia dawa vizuri ila kama una michubuko au vidonda vya genital ulcer aisee usimuambukize mwenzio usife kizembe maisha matamu japo mafupi na dawa zipo.
 
Tunatishana sasa. Halafu kuna kamanzi nilikala imani nako sina kabisa ila kwa uzuri wake nilijikuta nimekatafuna na nimeshamaliza.

Hizi njaa za utamu wa mgegedo zinatuacha pabaya sana.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ukimwi sikuhizi ata sio ishu wengi wanaogopa mimba tu vitoto vya 2000 Ni Mungu atuhurumie tu kwa kweli Dunia imevurugika sana kwa Sasa
 
Back
Top Bottom