Niko Njia Panda... Msaada Please

Unataka kusema Divorcee huwa hawaowi wala kuolewa tena na kuwa na familia zinazoeleweka?

Ina maana mtu akiwa divorcee ni sawa na laana?

 
Ndoa maana yake nini? kama maana yake financia comfort and unconditional love from one side basi mkubalie huyo wa kwanza. Kama maana yake struggling (financialy and emotionaly) together and finding comfort in mutual love basi mchague huyo wa pili.
Don't base your decision on what they have to offer, base it on your own understanding and expectation of a successful life and marriage. Since you are financially independant, money should not be an issue. Halafu kumbuka they are not the only two option, kuna wengine pia hata kama hawajajitokeza. good luck !
 
Ha ha ha ha, chezeiya Konnie akiingia kwenye fani.

Huyu Peter labda aliachishwa kazi, ndo atuambie.

Nilitaka kumuonesha kuwa bora aendelee na John, Peter hana akili ya kuoa.
Yaani mpaka sasa John anaongoza kwa kura nyingi.

Afu tayari ana kura turufu ya kwako na ya kwangu. Imebaki moja tu ya Babu mwenzangu Dark City.

Vote For John... (Nimekumbuka mshiko wangu Superman kanirusha, au adhawaiz fellow tablet klorokwini atakuwa katuuzia kibudu kwenye kiroba.... Do something Kongosho asali ya ODM)
 
Last edited by a moderator:
Watongozaji tuna kazi ngumu kweli ya kushawishi mwanamke akubaliane na matakwa yako
 
sababu ya John kuachana na mkewe naifahamu na niliihakikisha kwa watu tofauti, iko genuine ndio maana talaka ilitoka mapema. Peter tangu namfahamu alishaachana na mkewe, hivyo hata sikufuatalia kisa kilikua nini.

 

bila mshiko kwa kibongo bongo hujaoa wala hujamweka sawa katika himaya
 
Roulette jamani nimeshindwa kuku like maana sikuiona sijui imedisappear wapi. but nimeku like my friend, well said...

 
samstevie, pesa ya John wala hainiweki njia panda, maana hapa nilipo kwa sasa niko juu kiasi fulani and not because of him. kama nilivyosema mwanzo, nina maisha yangu mazuri tu kwa effort yangu mwenyewe. namshukuru mungu sijawahi kuishi kwa kufanyiwa bali najifanyia mwenyewe, upo sam...?

 
Ngoja nisubiri na mie kura ya Babu DC.

Hivi watu wanadhani chakula kitawekwa mezani na penzi?

Peter mwenyewe misheni town, hapo hapo atataka na ndugu zake wasaidiwe, afu hajatulia ndo maana labda waliachana mwanzo.

Heri nusu shari kuliko shari kamili, Votye for John.

Kuhusu Superman, namwendea Sumbawanga mwezi ujao, atakuja hapa hana sehemu inayomtambulisha yeye kama superMAN au superWoMAN.

 


oooh my god Kongosho siamini kama ukiolewa /au kuoa mtu ambae humpendi mapenzi yatajiseti huko mbele:nono:
Mie nakanusha kabisa..
:nono:
Da Asia naomba upige goti chini uombe mungu akuonyeshe ni nani aliyeandaliwa kwa ajili yako...
 
Last edited by a moderator:
Asprin huyu Superman mbona analalamikiwa na kila mtu Nyani Ngabu nae anakilio cha mshiko wake
 
Last edited by a moderator:

Roulette jamani nimeshindwa kuku like maana sikuiona sijui imedisappear wapi. but nimeku like my friend, well said...

Kumbe tayari ulishakuwa na maamuzi afu unakuja kutuomba ushauri.

My dearest Kongosho twenzetu Chit Chat bana, ushauri wetu kumbe tulikuwa tunamtawaza kitimoto kwa toilet paper.

Afu huyu Roulette ndo yule wa kirusi au wa kimarekani? Wa kirusi sijui kapotelea wapi na shem wangu AshaDii. Nimewamisi mpaka nimemkumbuka Gadafi.
 
Last edited by a moderator:

Nadhani nimekuelewa kwa kuunganisha hizo two dots
 

Sasa AshaDii na Gadafi wapi na wapi jamani? hahahahaha.
Halafu naona kama hujamwelewa Da Asia. hajasema kua ushahuri wenu hauna maana, amesema tu amependa nilivo mfafanulua njia ya kuchukua uamuzi. sasa atatumia ushahuri wenu kwa kuzingatia what I said. endeleeni kumpa ushahuri, her decision is not easy to take.
 
Last edited by a moderator:
nenda kwa john, na uanze kuangalia mazuri yake tu, mbona utampenda sana, peter mdelete kabisa hajabadirika kitu huyo, mtaachana tena na tena na tena
 
FirstLady1, hadi Asia kuja hapa ujue kuna kitu ndani yake kwa John, ila bado anataka kuwa na Peter.

Huwezi wekwa njia panda na mtu ambaye haufeel chochote, penzi kwa John na hakika lipo, japo sijui kwa kiwango gani.

Kwa hiyo analo la kutosha kujiset mbele kwa mbele lol.

oooh my god Kongosho siamini kama ukiolewa /au kuoa mtu ambae humpendi mapenzi yatajiseti huko mbele:nono:
Mie nakanusha kabisa..
:nono:
Da Asia naomba upige goti chini uombe mungu akuonyeshe ni nani aliyeandaliwa kwa ajili yako...
 
Last edited by a moderator:
Tena nikijumlisha na udaku niliofukua, anatutania.

Kanipandisha hasira hadi nimemnasa kofi bosi, hapa niliponaandikiwa samasi.

Twende zetu chit chat bora.

 
Mimi bana ndo maana napendaga sana Kongosho bana.

Angekuwa hana feeling yoyote kwa John (iwe ya kimapenzi au ya kiuchumi) huyu mhanga wa mapenzi asingeanzisha huu uzi. Kwani kishatongozwa na wangapi bana? Mbona hajawafungulia uzi hapa?

Stuka!

Afu mbona sijajibiwa jamani kuwa leo ni juma ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…