Niko Njia Panda... Msaada Please

Ingekua mie ningeshampa John kiti akae moyoni mwangu! Lol! Huyo Peter muzee ya mission town mmh angalie asije kuchuma mali zako mwisho wa siku akatokomea ati!za kwangu changanya na zako..
 
''Peter'' my name mate...haya bana,ntarudi baadae kuona maamuzi yako.
 

Nimecheka sana leo na mm yalinikuta hao hao wakina pita na john yani hivo hivo,john alikua amenizidi 20 yrs yani anaweza kunizaa ila km unavojua wanaume hawazeeki mapema,nikamueka peter pembeni john maisha mteremko kl kitu bwerere nikaona pepo ya duniani,peter ananipa elf 10 cz ni mishen town john ananipa mpk laki kwa matumizi madodo dogo2 we shoga yalonikuta mpk nilitani ardhi ipasuke yy hakuwahi kuoa pamoja na ukubwa wake wote,kumbe alikua ana mtandao mkubwa yani ana totos hazina hesabu na ana mmama ambae anamtu mumewe,cjui uyo mume nae km anamtu na mm na uyo m_baba,kumbe yule fisadi gari,nyumba,zote ni za huyo mwanamke nae anapewa mali na mumewe, shosti mpaka yl mwanamke alihatarisha maisha yangu,nikamkumbuka peter wangu alikua anauwezo mdogo lakini hakunipa msongo wa mawazo ht kdg mda wt nilikua na tabaasam alinpnd na kunithamini,john alikua ananipa wakati mgum na alikua cheater,nikarudi kwa peter na kuomba msamaha kwa usalit,nimejifunza utu na kitu ni vitu vicvyo landana,mapenzi kwanza ndo kigezo pesa c ișue.
 

Nikweli njia panda anaipata ksb ya pesa,pesa anazitesa nafc zetu wanawake,
 
duu aisee....hii kali...jaribu kwa john
 

Mkuu mwenzangu,

Niko hai hai, naitwa na wajukuu niwasaidie wasitoane macho. Nimeweza kusoma posts 2 tu, ile ya mleta mada na hii ya kwako.

Sina objection...John is my big choice....Maisha hayahitaji pressure kama hizo za Peter.

Ila mbaya zaidi na kadri ya kwa principles zangu, si jambo zuri mdada kuolewa na mdogo wake.

Nitarudi tena asubuhi kuwasalimia......

Babu DC!!
 
kweli konnie
 

umemaliza kila kitu Kongosho, kazi kwake
 
Last edited by a moderator:
Moyo wako unajibu kamili!!. Nina hakika ndicho utakachofuata hatimayeee ... all the best Dear!!
 

kama mie ninavyikupenda, hapa nasubiria babu Asprin udondoke niwe bilionea....
 
Last edited by a moderator:
mwanaume hapo John tu.......
Kwanza inaelekea anakupenda.......

Achana na Peter, si ajabu kaona maisha yamempiga anataka kuja kupumzika.....
Kingine kwenye mapenzi majaribu toka kwa wenza wa zamani yanatokea....

Au peter kabadilika nini mpaka uwe nae? Asia, speaking from experiece kama kuna kosa kubwa utafanya ni kurudia mpenzi wa zamani.....atakavyokuumiza utabaki kinywa wazi...
 
Kumbe mimi mshamba sana...........sikujua mapenzi yana tafsiri tofauti kabisa nyakati hizi....Nimejifunza
 
Ningekushauri umkubali Peter lakini maelezo yako ya sababu za nyie kuachana na wakati wote mliumia hayaingii akilini

Je kama wote ni watu wa hasira mnadhani mtadumu kwenye ndoa?

Huyo mwenye kids wala sikushauri, ingawa inawezekana hata Peter ana watoto si alikuwa na mke au yeye hakuzaa. Na umesema Peter ni mdogo kwako; uoni hiyo ni sababu ya yeye kukudengulia na kwenda kuoa wa umri wake yalipomshinda ndio anakukumbuka. Be careful. Asijekuwa anakurudia umlee.

Jaribu kutafuta kwingine; achana nao wote.

"Kuna mwingine, huyu namuita Peter. Peter yeye, tuliwahi kua na mahusiano miaka kama mitano iliyopita ambayo yalidumu kama miaka miwili na kiasi fulani. Tulipendana sana mpaka tulipewa majina mji huu. tukatofautiana kidogo sana na kitu cha kijinga mno, sababu ya kila mmoja kua na hasira na mwenzie, tuka break-up. niliumia na yeye naamini aliumia sana"
 
kama mtu hum-feel kama unavyosema, unakuwa na uhusiano naye kwa miaka 7 wa kazi gani? halafu haya mambo ya kuwa na parallel relationships kumbe yapo sana eeh.... mwingine anakiri kabisa kwambs huku akichukua elfu kumi kule anachukua laki....
 
Huyo John alikuwa anakufatilia miaka saba na wakati akiwa kwenye ndoa; je ungemkubali unadhani alikuwa tayari ku divorce au alitaka uwe mpango wa kando. Je amemuacha mkewe ili awe na wewe? Ni kwa nini umeamua kuwa mpole kama unavyosema baada ya kukufuatilia sasa akiwa divorcee? Je ulimwambia kama anakupenda kweli amuache mkewe? Ana kasoro nyingine ambazo umeamua kutoziweka adharani nadhani ni kasoro kubwa ndio maana umeona hata nourma kuzianika hapa. Huyo John si mume ndugu ukimkubali utanambia hata miaka 7 alokaa mwenzio hutamaliza. Na huwezi jua si ajabu anajaribu na kwa wengine wakati huu; sidhani kama ni wewe peke ulokuwa unamvutia huku akiwa na mkewe.

Na ukiolewa na John itakuwa ngumu kwa wanaowafahamu kuamini kuwa hukuwa na uhusiano nae kwenye hiyo miaka saba ya ndoa yake. Kwa kujiweka karibu na waume/wake za watu na kuwapa vifua vy kulilia tunavunja ndoa za watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…