Simply unatakiwa uwe zuzu right??Kinachokutatiza ni kitu kimoja tu mkuu
Unatumika akili (logic) katika kuchanganua mambo ya dini yako hiyo kitu kinachokufanya uanze kujiuliza jambo fulani linawezekana vipi. Ukitaka kuwa muumini mtiifu wa dini yoyote ni lazima uamini bila kuhoji mistari katika vitabu hivyo vya dini. Maneno kadhaa ya kwenye biblia na Quran hayaendani na uhalisia kwa hiyo we chagua tu dini moja iamini hivyo hivyo.
Kubwa kuliko yote ukitaka kuwa muumini mzuri wa dini fulani basi usitumie philosophy katika kuchanganua mambo ya kidini.
SahihiSimply unatakiwa uwe zuzu right??
Hii haihusiani na dini ni siasa ahhCView attachment 3426676hagua ayatollahrian
Asante ila sijawai na siwezi kuamin kitu ambacho sikijuiKinachokutatiza ni kitu kimoja tu mkuu
Unatumia akili (logic) katika kuchanganua mambo ya dini yako hiyo kitu kinachokufanya uanze kujiuliza jambo fulani linawezekana vipi. Ukitaka kuwa muumini mtiifu wa dini yoyote ni lazima uamini bila kuhoji mistari katika vitabu hivyo vya dini. Maneno kadhaa ya kwenye biblia na Quran hayaendani na uhalisia kwa hiyo we chagua tu dini moja iamini hivyo hivyo.
Kubwa kuliko yote ukitaka kuwa muumini mzuri wa dini fulani basi usitumie philosophy katika kuchanganua mambo ya kidini.