Hii sasa ndio remix ya Mudi dhidi ya original version ya hekaya za wayahudi na wakristoAdam alikuwa Muislam
Nuhu alikuwa Muislam
Ibrahimu alikuwa Muislam
Isaka alikuwa Muislam
Yakobo alikuwa Muislam
Musa alikuwa Muislam
Daudi alikuwa Muislam
Zakaria alikuwa Muislam
Mariam alikuwa Muislam
Yesu alikuwa Muislam
Kama Kuna mtu alikuambia kuwa hao walikuwa wapagani kama wewe au walikuwa wakristo kama Papa Francis basi huyo amekudanganya
Mkuu Huko nilikwisha toka siku nyingi sana kwenye kuamini invisible God......... Nilipitia exactly hatua kama unazopitia wewe kwa sasa hadi nilipokuja kubaini PASI NA SHAKA YA ZIADA kwamba HAKUNA MUNGU zaidi ya Hadithi tu za kisadikikaDuuh ndicho kiko akilini mwangu kwasas
So wew hauamini kuhusu mungu ??
Sio kama hawaoni..wapo wengi sana humu wenye elimu ya quran ila hawana majibu..kuna siri kubwa sana hapo mzeeMkuu kwanini husiandike uzi ili kuuliza kitu hicho maana naitaji pia kufahamu maana yake ni nini na nahisi hawajibu kwasababu hawaoni comment yako.
rudi kwa paroko wako mwelezee haya uliyoandika hapa atakupa mwongozo. huku mitandaoni utapotea.Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.
Kama binadamu wengine namuamini mungu.
Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.
Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)
Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.
Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).
Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.
Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.
Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.
Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Ahaaa, kwa hiyo Mkuu, ulimwengu ulitokea ghafla ghafla tu (kibahati bahati), na vitu vikajipanga vyenyewe (kwa ustadi) kibahati bahati tu?Mkuu Huko nilikwisha toka siku nyingi sana kwenye kuamini invisible God......... Nilipitia exactly hatua kama unazopitia wewe kwa sasa hadi nilipokuja kubaini PASI NA SHAKA YA ZIADA kwamba HAKUNA MUNGU zaidi ya Hadithi tu za kisadikika
Keep digging.......
Duuh naitaji kusikia meng kutoka kwako kakaMkuu Huko nilikwisha toka siku nyingi sana kwenye kuamini invisible God......... Nilipitia exactly hatua kama unazopitia wewe kwa sasa hadi nilipokuja kubaini PASI NA SHAKA YA ZIADA kwamba HAKUNA MUNGU zaidi ya Hadithi tu za kisadikika
Keep digging.......
Hivi ulishaga fikilia sayansi ya anga huwa nashindwa kuelewa inawezekanaje yale yote yawe yamepangiliwa kwa usahihi kiasi hicho bila kuwepo nguvu ya kuyafanya yawe katika usahihi huo.Mkuu Huko nilikwisha toka siku nyingi sana kwenye kuamini invisible God......... Nilipitia exactly hatua kama unazopitia wewe kwa sasa hadi nilipokuja kubaini PASI NA SHAKA YA ZIADA kwamba HAKUNA MUNGU zaidi ya Hadithi tu za kisadikika
Keep digging.......
Upekee ni kuwa Buddhism sio chumba.Hao budhism wana upekee gani ambao uliuona?
Hujawahi kushangaa hiyo nguvu iliwezaje kuyapanga yote hayo? Na hiyo nguvu ilipangwaje?Hivi ulishaga fikilia sayansi ya anga huwa nashindwa kuelewa inawezekanaje yale yote yawe yamepangiliwa kwa usahihi kiasi hicho bila kuwepo nguvu ya kuyafanya yawe katika usahihi huo.
Bakia hapo hapo njia panda huenda ni sahihi zaidi kwako.Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.
Kama binadamu wengine namuamini mungu.
Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.
Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)
Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.
Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).
Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.
Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.
Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.
Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
No body knows huu ulimwengu ulianzajeAhaaa, kwa hiyo Mkuu, ulimwengu ulitokea ghafla ghafla tu (kibahati bahati), na vitu vikajipanga vyenyewe (kwa ustadi) kibahati bahati tu?
Fikiria mfano wa binadamu:
1. Mdomo upo mahali hapo ulipo, na pamefaa/endanq kabisa kwa kazi yake—haikutokea ukawepo begani, tumboni, au katikati ya miguu—na mdomo una meno, ulimi, na ukaunganishwa na mfumo kamili wa usagaji chakula. Na mfumo huo ukabeba viungo mbalimbali vyenye sifa/muundo maalumu unaopelekea ufanisi wa kazi mfumo huo.
2. Mfumo wa usagaji chakula ukaunganishwa kikamilifu na njia ya kupumua na kuzungusha virutubishi mwilini, kwa usahihi wa ajabu (imetokea kibahati bahati tu?).
3. Viungo vya uzazi vipo katikati ya miguu, sehemu inayovilinda, na sio kichwani mfano pale penye mdomo au macho au utosini. Na kila jinsia ina mpangilio wake wa kipekee na adaptations zinazowezesha uzazi kufanikishwa.
4. Mfumo wa seli na sehemu zake zote, ikiwemo DNA (ndani ya chromosomes)—ambayo imehifadhiwa sana (highly conserved) na hubeba taarifa muhimu zinazofafanua sifa na muundo wa binadamu (traits).
Ikawa ktk uzazi, idadi za chromosomes (46) kwa kila jinsia zinagawanyika kuwa nusu, na zinaungana na nusu za jinsia ya pili kuwa 46 kamili?
Hivi vyote, vinavyofanya kazi kwa usahihi na kwa kushirikiana, vingewezaje kutokea tu kwa bahati bahati pasi na kuwepo aliyevitengeneza na akaamua kuvipanga ktk huo mpangilio wa ajabu usioleta mushkeli ktk ufanyaji wa kazi wa vitu/viungo/mifumo hiyo kwa ujumla?
Mkuu, Vipi nyumbani kwako au chumbani kwako, imewahi kutokea vitu vikajipanga vyenyewe kibahati bahati? Asiwepo aliyevipanga?
Au sofa likajitengeneza lenyewe pasi na kuwepo mtengenezaji (fundi), rangi ya nyumba ikatokea yenyewe kwenye kuta za nyumba yako pasi na kuwepo mtengenezaji wala mpakaji?
Na siyo kila mkristu anaamini katika hayo mambo matano uliyoandika.Karibu katika uislam lakini ukae ukijua dhima kubwa ya kuwa muislam ni kuitafuta akhera yako (wengine wanaita mbinguni) kwahiyo utamiss vitu kama vile
1. Ushuhuda
2. Miujiza
3. Unabii na manabii wa duniani
4. Maombezi kwa ajili ya kupata utajiri
5. Maombezi ya kuponya magonjwa na miujiza ya kuponya vilema
Kiufupi utajinyenyekeza kwa Mwenyezi Mungu kwa ajili ya kupata pepo yake na sio starehe za dunia
Huwa mnaombeana kwa jina la yesu kuponya magonjwa na kufukuza mapepo hicho ndio kilichomtoa mleta mada huko ukristoniNa siyo kila mkristu anaamini katika hayo mambo matano uliyoandika.
That's a wonderful extract,