Kila mtu anajiamulia future yake na destiny yake yeye mwenyewe.
Hakuna Mungu anayeamua au anayepanga future na destiny ya mtu.
That's why, Una uwezo wa kuamua unataka uwe daktari, mhandisi, mfanyabiashara, mcheza soka n.k kwa maamuzi yako na juhudi zako tu.
Kila mtu ana uwezo huo. Tatizo ni mazingira uliyopo.
Kila mtu ana uwezo wa kuwa na nyumba nzuri, usafiri mzuri na maisha mazuri. Inategemea na juhudi zako na mfumo wa nchi yako ulivyo.
Mfano, System ya Marekani 🇺🇲 jinsi ilivyo inamuwezesha mtu yeyote yule kuwa tajiri bila kujali background yako.
Kwa nchi za Afrika kutokana na mifumo mibovu ya kiutawala ndio maana unaona kwamba haiwezekani mtu kuwa kama Mo Dewji au Bakhressa.
Kwa mataifa yaliyoendelea uki hustle vya kutosha na kuwa na nidhamu ya fedha maarifa ya kibiashara una uwezo wa kuwa kama kina Bakhressa na Mo Dewji.
Hakuna yeyote anayepanga kitu au jambo lolote lile kwa binadamu.
Hapa ni kutokana na mifumo mibovu ya kiutawala wala sio Mungu.
Kwani ajali ikitokea ni lazima watu wote wafe?
Ajali yoyote ikitokea kuna mambo matatu ambayo ni lazima mojawapo lipo, WALA SIO MUNGU ndio kapanga.
Mambo hayo matatu ni;
1- Vifo vya abiria wote.
2- Vifo na majeruhi.
3- Majeruhi bila kifo chochote.
Kwa hiyo ajali ikitokea na abiria 49 wakafa, Abiria mmoja akapona wala sio Mungu ndio kafanya apone. Wala si Mungu ndio kamuepusha na ajali hiyo.
Ni bahati tu imetokea kwa abiria huyo mmoja kupona, kwa sababu ajali inaweza kutokea abiria 49 wakapona, Na abiria huyo mmoja akafa.
Hakuna Mungu anayelinda watu kwenye ajali.
Ajali inaweza kutokea na kuua abiria wote, ikaua wachache au isiue kabisa.
Ni suala la probability tu wala sio Mungu.
Kwa hiyo wananchi wote wa Marekani ni matajiri?maana umesema kule wanasapotiwa na utawala bora.Kila mtu anajiamulia future yake na destiny yake yeye mwenyewe.
Hakuna Mungu anayeamua au anayepanga future na destiny ya mtu.
That's why, Una uwezo wa kuamua unataka uwe daktari, mhandisi, mfanyabiashara, mcheza soka n.k kwa maamuzi yako na juhudi zako tu.
Kila mtu ana uwezo huo. Tatizo ni mazingira uliyopo.
Kila mtu ana uwezo wa kuwa na nyumba nzuri, usafiri mzuri na maisha mazuri. Inategemea na juhudi zako na mfumo wa nchi yako ulivyo.
Mfano, System ya Marekani 🇺🇲 jinsi ilivyo inamuwezesha mtu yeyote yule kuwa tajiri bila kujali background yako.
Kwa nchi za Afrika kutokana na mifumo mibovu ya kiutawala ndio maana unaona kwamba haiwezekani mtu kuwa kama Mo Dewji au Bakhressa.
Kwa mataifa yaliyoendelea uki hustle vya kutosha na kuwa na nidhamu ya fedha maarifa ya kibiashara una uwezo wa kuwa kama kina Bakhressa na Mo Dewji.
Hakuna yeyote anayepanga kitu au jambo lolote lile kwa binadamu.
Hapa ni kutokana na mifumo mibovu ya kiutawala wala sio Mungu.
Kwani ajali ikitokea ni lazima watu wote wafe?
Ajali yoyote ikitokea kuna mambo matatu ambayo ni lazima mojawapo lipo, WALA SIO MUNGU ndio kapanga.
Mambo hayo matatu ni;
1- Vifo vya abiria wote.
2- Vifo na majeruhi.
3- Majeruhi bila kifo chochote.
Kwa hiyo ajali ikitokea na abiria 49 wakafa, Abiria mmoja akapona wala sio Mungu ndio kafanya apone. Wala si Mungu ndio kamuepusha na ajali hiyo.
Ni bahati tu imetokea kwa abiria huyo mmoja kupona, kwa sababu ajali inaweza kutokea abiria 49 wakapona, Na abiria huyo mmoja akafa.
Hakuna Mungu anayelinda watu kwenye ajali.
Ajali inaweza kutokea na kuua abiria wote, ikaua wachache au isiue kabisa.
Ni suala la probability tu wala sio Mungu.
Ushauri kwa huyu ndugu sahihi ni mmoja tu,ushauri ambao unamuelekeza kwa Kristo ili apate uzima wa milele.Chochote kingine tofauti na hichi ni upotoshaji tu.Chochote tunachangia hapa kinaweza kuwa na msaada kwake katika lengo lake la kufanya hayo maamuzi, watu washatoa sana ushauri wa namna mbalimbali kutokana mitazamo yao tofauti tofauti hivyo mtu bado anaweza akashindwa kujua afuate ushauri upi.
Wana mafundisho mengi potofu ambayo yapo kinyume na Neno la Mungu.Ndio maana Biblia inaliita dhehebu Hilo 'MAMA WA MAKAHABA." Ikiwa na maana kuwa yapo makahaba ambao ni madhehebu mengine,hata Islam.I want to remind people that Islam is the brainchild of IslamTatizo la Catholics hasa ni lipi?
Huo Uislamu umekuwaje mama wa makahaba kwa lipiWana mafundisho mengi potofu ambayo yapo kinyume na Neno la Mungu.Ndio maana Biblia inaliita dhehebu Hilo 'MAMA WA MAKAHABA." Ikiwa na maana kuwa yapo makahaba ambao ni madhehebu mengine,hata Islam.I want to remind people that Islam is the brainchild of Islam
Sijasemsa Uislamu ni mama wa MAKAHABA,wenyewe naweza kusema ni MAKAHABA, kwa kuwa umetengenezwa na Ukatoliki, ambao ndio MAMA WA MAKAHABA. Madhehebu ndio MAKAHABA.Huo Uislamu umekuwaje mama wa makahaba kwa lipi
Unaweza kufafanua zaidi kuhusu hayo mafundisho potofu?Wana mafundisho mengi potofu ambayo yapo kinyume na Neno la Mungu.Ndio maana Biblia inaliita dhehebu Hilo 'MAMA WA MAKAHABA." Ikiwa na maana kuwa yapo makahaba ambao ni madhehebu mengine,hata Islam.I want to remind people that Islam is the brainchild of Islam
MhNenda Sehemu utakayo Kuwa Vizuri Kiroho
Ukirud kwenye Uislam
Unajirudisha nyuma zaidi baadala ya Kusonga Mbele na Ukristo
Hakuna sehemu nimekwambia wananchi wote wa Marekani ni matajiri.Kwa hiyo wananchi wote wa Marekani ni matajiri?maana umesema kule wanasapotiwa na utawala bora.
Je ni lazima bahati iwe imetengenezwa na fulani?Kitu kingine umesema ikitokea ajali wakafa abiria 49 na mmoja akapona imesababishwa na bahati tu,sasa ni nani anayeitengeneza hiyo bahati au bahati asili yake ni wapi?
Kwa Afrika kuna wanaopata utajiri kwa njia zisizo za halali na wanalindwa na viongozi ndio maana wana endelea ku survive.Pia ukasema bongo kinachowakwamisha watu kuwa matajiri ni mazingira au utawala mbovu lakini ukumbuke katika mazingira hayohayo ambayo wewe umeshindwa kuupata utajiri kuna wenzako wameupata utajiri je unadhani ni kitu gani kilichosababisha?
Kwenye familia kuna factors nyingi zinazopelekea watoto wengine kutajirika na wengine kutokutajirika.Au tuseme hivi kwa mfano kwenye familia moja yenye watoto watano walioishi na kukulia kwenye nyumba moja miaka yote wawili wanatajirika lakini watatu ni maskini unadhani ni nini kinachosababisha?
Sasa unakataa nini na unakubari nini, mimi nachukua neno lako la mwisho nilipo Bold 👆🏽 naomba ushahidi wa madai yako alafu uniambie Ukristo umetengenezwa na nani.Sijasemsa Uislamu ni mama wa MAKAHABA,wenyewe naweza kusema ni MAKAHABA, kwa kuwa umetengenezwa na Ukatoliki, ambao ndio MAMA WA MAKAHABA. Madhehebu ndio MAKAHABA.
Ushauri wako wala si sahihi.Ushauri kwa huyu ndugu sahihi ni mmoja tu,ushauri ambao unamuelekeza kwa Kristo ili apate uzima wa milele.Chochote kingine tofauti na hichi ni upotoshaji tu.
Ni sehemu ya maoni yako tunaheshimu mkuu, ila mkuu hata mtu wa imani nyengine pia anaweza kumshauri afuate imani nyengi kwa hoja kama yako tu kuwa ndio njia sahihi vinginevyo ni upotoshaji.Ushauri kwa huyu ndugu sahihi ni mmoja tu,ushauri ambao unamuelekeza kwa Kristo ili apate uzima wa milele.Chochote kingine tofauti na hichi ni upotoshaji tu.
Kwahiyo ni sawa na wewe ukimlea mwanao katika mazingira ya kukana au kutokuamini uwepo wa Mungu naye si atafuata huo msimamo kwa sababu amelelewa hivyo?Ushauri wako wala si sahihi.
Wewe umelelewa kwenye ukristo ndio maana unataka kumshauri mleta mada amwelekee Kristo kwa vile ndivyo ulivyo aminishwa.
Wewe ungelelewa kwenye uislamu, ungemshauri huyu mleta mada amwelekee Allah.
Kwa hiyo unachofanya wewe ni upandikizaji wa imani yako uliyoaminishwa tu.
Wala hakuna ukweli wowote ule wa ukristo wako. Unajaribu kufosi na kupandikiza imani yako kwa mleta mada.
Dini itakusaidia nn Ndugu? Achana na dini ila muabudu Mungu,muamini Mungu.Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.
Kama binadamu wengine namuamini mungu.
Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.
Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)
Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.
Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).
Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.
Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.
Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.
Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Kujiuliza kuhusu imani au jambo lolote kimaisha ni ishara njema inaonesha wewe unajitambua,la kufanya nenda Msikiti ulio karibu nawe au zungumza na mtu unayejua kua ana uelewa wa kutosha wa kidini fanya research,naamini utafanya chaguo lililo sahihi au kama vp niadd unielezee ni nini kimekuchanganya huko uliko na unahitaji kujua nini kwenye UislamHabari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.
Kama binadamu wengine namuamini mungu.
Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.
Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)
Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.
Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).
Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.
Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.
Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.
Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Atheists hoja zenu na maswali yenu yanachekesha sana kwa maana definition ya Mungu ni Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ulimwenguni sasa unauliza Mungu ametengenezwa na nani wakati yeye ndio muumba wa vitu vyote na viumbe wote waliopo duniani inamake sense?Hakuna sehemu nimekwambia wananchi wote wa Marekani ni matajiri.
Nimekwambia na ninakwambia kwamba system ya Marekani inaweza kumuwezesha mtu yeyote kuwa tajiri akijituma.
Je ni lazima bahati iwe imetengenezwa na fulani?
Ukishaanza kujiuliza ni nani anatengeneza bahati, unatengeneza swali lingine la ni nani mtengenezaji wa mtengeneza bahati.
Na kuanzia hapo unatengeneza mtiririko wa maswali ya ni nani? ni nani? ni nani? ni nani?
Kwa hiyo kama BAHATI itahitaji kutengenezwa na fulani, Hata huyo mtengeneza bahati atahitaji kuwa na mtengenezaji wake mwingine.
Kwa Afrika kuna wanaopata utajiri kwa njia zisizo za halali na wanalindwa na viongozi ndio maana wana endelea ku survive.
Lakini ukijaribu wewe kupita kwenye hizo njia haramu huwezi maana huna support yoyote ya wakubwa.
Ndio maana wengi wanakwama kufikia utajiri.
Lakini kwenye system isiyo na konakona, una uwezo wa kuufikia utajiri kwa juhudi zako mwenyewe.
Kwenye familia kuna factors nyingi zinazopelekea watoto wengine kutajirika na wengine kutokutajirika.
Kuna ulevi, elimu n.k
Pia elewa kwamba hata kama mmezaliwa familia moja kila mtoto ana namna na njia yake atakayopenda kuifuata kukabiliana na maisha.
Hamuwezi wote kutumia njia moja kwenye maisha. Ndio maana kuna utofauti. Kuna ambao watakuwa matajiri na wengine wataendelea kubaki maskini kutokana na machaguzi yao.
Mfano mtoto moja aamue kuwa mwalimu, mwingine aamue kuwa mwanasiasa, mwingine aamue kuwa mfanyabishara.
Huyo mtoto aliyechagua kuwa mwalimu hawezi kutajirika kama hao watoto wengine waliochagua siasa na biashara.
Kwa hiyo machaguo ya mtu ndio yata determine kama ata tajirika au hatotajirika wala SIO MUNGU.
Hiyo definition yenu ni definition uchwara mliyopumbazwa na dini zenu.Atheists hoja zenu na maswali yenu yanachekesha sana kwa maana definition ya Mungu ni Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ulimwenguni.
Thibitisha Mungu yupo.sasa unauliza Mungu ametengenezwa na nani wakati yeye ndio muumba wa vitu vyote na viumbe wote waliopo duniani inamake sense?
Utajua ni njia ipi huyo mmoja alitumia akatajirika licha ya kwamba ni mlevi?Pili nikukosoe hapo uliposema kwenye familia kuna factors nyingi zinazofanya mwingine atajirike na mwingine asitajirike.
Nakupa mfano mmoja ambao nimeushuhudia kwa macho yangu ni hivi kuna familia moja ina watoto watatu wa kiume japo wote ni watu wazima kwa sasa hawa jamaa elimu yao inafanana,wote wanafanya kazi ya aina moja yaani ni designers wa nguo/car seat covers na wote wanafanyia kazi kwenye mtaa mmoja,hawa jamaa wote ni wanywaji pombe lakini mmojawao ametajirika ila wengine wawili hawajatajirika,hapo unasemaje?
Mimi sihitaji kufanya magendo ili nitajirike.Tatu una imani kwamba matajiri wote wa Africa wanatajirika kwa kufanya magendo na biashara haramu kisha ukasema wanaweza kufanya hivyo kwa vile kuna watu wa serikalini wanawalinda si ndio?Kwa nini na wewe usiamue sasa kwamba ufanye magendo kisha na wewe ulindwe unakwama wapi?
Juhudi zinategemea na mazingira uliyopo.Kitu kingine unasema mtu yeyote akifanya juhudi katika kupambana lazima atajirike,hivi unapotaja neno juhudi unalenga nini specifically,ni juhudi ipi hiyo unayoizungumzia?Kwa mfano mtu anayeamka kila siku saa kumi alfajiri kwenda saiti kupiga zege na kurudi nyumbani saa nne usiku hii sio juhudi?kwa nini naye asitajirike kutokana na juhudi yake?