Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Ni kweli lakini sidhani kama kuna dini ya kweli ukitumia logoc mkuu.Kweli ila dini zina athili iman zetu mkuu
Mwanzon nilikuwa nna mawazo kama yako.Kitu unachokitafuta katika uhalisia hakipo...
Kama unatafuta kuwa mfuasi wa itikadi flani basi, hata hapo ulipokua mwanzo panatosha sana na pana nguvu kuliko huko kungine unakokufikiria.
Kuifupi wote ni wale wale tu, tofauti yao ni ukubwa(kokote utakako kwande ni unabadilisha vyumba tu nyumba ni ile ile).
Kwa namna fulani uko sasa lakini unadhani bila dini tungekua tunamtazo gani kuhusu munguNi kweli lakini sidhani kama kuna dini ya kweli ukitumia logoc mkuu.
Utahama kila pahala, kila pahali utaambiwa huna imani, Mungu ndo anajua, hilo lipo nje ya uwezo wetu kujua ni Mungu pekee. Hupaswi kuuliza hilo ni kufuru na vitu kama hivyo.
Then nenda huko unataka bila bughudha. Hapa umekuja kumtangazia nani?Labda tuseme niko na tatizo kwa maamuzi yangu ila nimakosa pia kutaka kumjua mungu ? Maana kila dini inamwelezea mungu kitofauti
Wao wana package gani nje ya hizi dini zetu? Mdogo wangu mmoja amewahi nishauri niwafatilie..Kama upo serious, watafute watu wanaitwaa UWATA~ Uamsho wa Wakristo Tanzania.
Wao wana package gani nje ya hizi dini zetu? Mdogo wangu mmoja amewahi nishauri niwafatilieKama upo serious, watafute watu wanaitwaa UWATA~ Uamsho wa Wakristo Tanzania.
Wewe sema tu unataka kupata fursa na uhalali wa kuoa wake wanne ili kukidhi tamaa zako za kimwili...sambamba na fursa ya mabikra 72Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.
Kama binadamu wengine namuamini mungu.
Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.
Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)
Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.
Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).
Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.
Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.
Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.
Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Shida yako ni uhuru wa kupata wanawake wengi ndo unakusumbua. Hakuna dini sahihi bali kuna IMANI SAHIHI.Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.
Kama binadamu wengine namuamini mungu.
Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.
Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)
Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.
Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).
Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.
Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.
Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.
Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Kwani atheists wana mtazamo gani??Kwa namna fulani uko sasa lakini unadhani bila dini tungekua tunamtazo gani kuhusu mungu
Kama uliama ukatoliki na kuwa mlokole au msabato basi wewe ulichokuwa unakifanya ni kubadili tu mikao ya kusex(ngono) kisha unasema ndiyo kuacha ngono ..mtu akisha kuwa na madhehebu tu huyo ni kafiri aijalishi ni dini gani ...kutoka ukatoliki na kuamia ulokole ni sawa na kukanyaga kinyesi kisha kutoka kwenda kukanyaga uharoHabari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.
Kama binadamu wengine namuamini mungu.
Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.
Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)
Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.
Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).
Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.
Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.
Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.
Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Mkuu kuna watu hata sio waislam wana wake zaidi ya hao 4 na bado hawajihisi kuwa na hatia yoyote na labda nikwambie mm sijaoa na sina hata hilo wazo kwasasa.Wewe sema tu unataka kupata fursa na uhalali wa kuoa wake wanne ili kukidhi tamaa zako za kimwili...sambamba na fursa ya bikra 72
Watu gani hawaKama upo serious, watafute watu wanaitwaa UWATA~ Uamsho wa Wakristo Tanzania.
Ww uwah hospitalNenda dini zote ila sio dini ya Kiyahudi ama Muslim. Hizi Imani zimejaa ukatili mkubwa sana. Angalia jinsi Mayahudi yanavyoua watu huko Gaza. Muislam nae anukuua huku anasema Allah Akbar. Angalia juzikati walivyoa wakristo huko Kongo na kule syria.Yaani anamuhusisha Mungu kwenye uovu wake.!. Ukitaka kuwa mkatili na kuchukia binadamu wengine jiunge na hizo Iman. Bora ubaki kwa Yesu maana alitutaka tuwapende watu wote. Yesu hakubagua.
Kwenye hii dunia namuogopa Sana Myahudi na Muislam.