Niko Oman msaada nataka dawa nzuri ya kupunguza tumbo

Kunywa maji ya uvuguuvug lita moj asubuhi na ufanye mazoez mepes mepes kwa siku 21
 
Isiyokuwa na madhara yyte
NI MAZOEZI YA ASILI (NATURAL EXERCISE)
SIO KWENDA JIM.
TEMBEA DK 30 KILA SIKU,
PUNGUZA KULA WANGA,
PUNGUZA MAVITU YENYE KUONGEZWA SUKARI,MAYAI,NYAMA NYEKUNDU NA SAMAKI WA MAJI CHUMVI.
KUNYWA MAJI YAKUTOSHA YAKAWAIDA SIYO YA FRIJINI
BAADA YAWIKI LETA MREJESHO
 
Isiyokuwa na madhara yyte
Mkuu mimi ninayo dawa ya kupunguza tumbo mafuta na kitambi dawa ya asili isiyokuwa na madhara kwa afya ya binadamu Dawa inayoitwa kwa jina hili Natural FitoForm Plus. Ukihitaji nitafute kwa wakati wako. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.

 
Mzizi mkavu, samahani kama hautojali naomba utusaidie price ya hiyo dawa.
 
Kunywa maji ya uvuguuvug lita moj asubuhi na ufanye mazoez mepes mepes kwa siku 21

Not necessarily 1 litre !! A glass full of warm water every morning will suffice !!!
 
Kuna mazoezi ya kukata tumbo na linapotea kabisa. Ingia Youtube cheki Physical Exercise za kukata tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…