Kwa vile hii familia haina uvunjifu wa uaminifu kwa ndoa, tatizo si kubwa wala dogo kiviile kama ulivyosema.
Nadhani hapo ndani kwenu kuna scramble for power, hakuna anayetaka kujishusha. Na ndio sababu kubwa iliyopelekea kukatika kwa mawasiliano baina yenu, na yeye kukuona mtata.
Mwanamke mwenzangu, inabidi ujue kuwa wewe ndio moyo na shingo ya familia, una uwezo wa kuiweka familia yako pamoja na kurekebisha huo mushkeli.
Jishushe, vunja ukimya, ongea nae kwa upendo na mahaba kuhusu dira yako kwa familia na mtoto. Mwanamke kutumia nyama ya ulimi bidada.