Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Utakosa mwana na maji ya motoKumbe ndio zenu hizooo, tangu sasa simuamini mtu anayesema yuko singo
naona leo buji buji wawashtaki wenzio wewe eeh?? Lakini wee huna mchezo huo kweli??
naona leo buji buji wawashtaki wenzio wewe eeh?? Lakini wee huna mchezo huo kweli??
Huwa nasema usiniulize maswali mengi utanijua taratibu taratibu
hehehehhhe utanambia uko singo lol... 😛op2:
Nimeipenda hii thread....nitarudi :laugh::laugh:
Kasema yeye mimi simo !Kumbe ndio zenu hizooo, tangu sasa simuamini mtu anayesema yuko singo
hehehehhhe utanambia uko singo lol... 😛op2:
Natangaza rasmi kwa wanawake wote JF sipo singo ninae wangu kanituliza nafsi yangu mwengine sitamani.....................
Halafu ukija zifumania sms zangu za kimapenzi, naanza kukweleza kuwa hao ni wanawake wangu nilio letewa na mizimu ya mababu kwa ajili ya ulinzi shirikishi wa nafsi yangu, na bila ya hao naweza kufa, hivyo basi usiendelee kuniuliza mwaswali mengi. (maneno haya nitakwambia tayari nimesha jivinjari na wewe kama mara 12)

Na wewe kwanini umuulize....................? kwani wewe upo single?
Hivi kwanini mwanamke akimuuliza mwanaume je una mtu huwa anajibu haraka kuwa niko singo, nilisha achwa na yule niliyekuwa naye na sasa niko peke yangu hata kama nyumbani ana mke na pembeni ana nyumba ndogo?
Lakini kumbuka Bujibuji kuwa unatakiwa uulize na other side kwa mwanamke!!!
The same answer utapata kutoka kwao.