hivi kwanini mwanamke akimuuliza mwanaume je una mtu huwa anajibu haraka kuwa niko singo, nilisha achwa na yule niliyekuwa naye na sasa niko peke yangu hata kama nyumbani ana mke na pembeni ana nyumba ndogo?
sasa bila uongo utawapateje.... Kwanza unamtia ndani ya himaya halafu ukweli baadae..
Kumbe ndio zenu hizooo, tangu sasa simuamini mtu anayesema yuko singo
Hivi kwanini mwanamke akimuuliza mwanaume je una mtu huwa anajibu haraka kuwa niko singo, nilisha achwa na yule niliyekuwa naye na sasa niko peke yangu hata kama nyumbani ana mke na pembeni ana nyumba ndogo?
umewastukia eeh!
Kaji2liza kwake kasuku eee eee hataki maneno hataki maneno....Natangaza rasmi kwa wanawake wote JF sipo singo ninae wangu kanituliza nafsi yangu mwengine sitamani.....................
kwa hali hii,nilihisi ipo siku na mimi nitapata wangu jf,lakini naona mmmh,kama simuamini mtu humu,na nahisi pengine wengine humu mnatongoza zaidi ya m.ke mmoja,na mimi mambo ya ku share siyapendi.
Kumbe ndio zenu hizooo, tangu sasa simuamini mtu anayesema yuko singo
Halafu ukija zifumania sms zangu za kimapenzi, naanza kukweleza kuwa hao ni wanawake wangu nilio letewa na mizimu ya mababu kwa ajili ya ulinzi shirikishi wa nafsi yangu, na bila ya hao naweza kufa, hivyo basi usiendelee kuniuliza mwaswali mengi. (maneno haya nitakwambia tayari nimesha jivinjari na wewe kama mara 12)