Niko tayari kuolewa na muislamu

Dada, hivi unajua unachokitamani?? Huko kwenye dini yako ya kikristo umekosa mume au wamekunanihii sana?? Poleni jamani ila ningelikuwa ni miye, ningesema; Namtafuta mume mtarajiwa tu
Swaaafi!!!
 
Nawewe ni muislam?
 
Tena swafiy naipenda dini yangu, Mola wangu naye Mtume wake Muhamad SWA
Hayo mengine ya kumpenda mola wako na Mtume wako mimi sijakuuliza

Nilichokuuliza ni je na wewe ni Muislam?
 
Mimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.
Kama upo tayari kuolewa na Muslim Mimi nipo tayari kukuoa sababu dini yetu inaruhusu msichana kupendekeza wa kumuoa
Kwangu haijalishi hata kama utaamua kubaki ndani ya ukristo wako isipokuwa endapo nitakufa hautaweza kurithi Mali zangu japo sina Mali
Lakini hata watoto hawatakuwa na sehem ya mirathi toka kwako kama hautobadili dini
Mimi haijarishi Shep yako na sura yako si kigezo cha kukuhitaji wewe
Kigezo bora kwangu ni wewe kuwa radhi kuolewa na kuishi katika ndoa na kukubali hari zote zinazoweza kujitokeza katika uhusiano wetu..
 
Mtoto wako sasa ana umri gani? Wanasheria mna tabu sana ya kukosa waume.

Mimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.
 
Ni vizuri pia ukafanya utafiti wa sababu za uislaam kuruhusu wanaume kuruhusiwa kuoa wanawake wasio waislam na kuua wanawake wanao olewa na wasio waislam. Angalia usije ukawa ni suna.
Prove kauli yako
 
Una uhakika kuwa huyu si mcha Mungu?

Je Wakristo hawaangalii mcha Mungu?
Nimejaribu kumwambia kigezo kikuu kwenue dini ya kiislam hivyo vingine ni ziada. Usilete mambo ya udini hapa mambo ya dini nyingine nayajulia wp nawakati mm sio muumin wa hiyo dini. Acha usoro
 
Nimejaribu kumwambia kigezo kikuu kwenue dini ya kiislam hivyo vingine ni ziada. Usilete mambo ya udini hapa mambo ya dini nyingine nayajulia wp nawakati mm sio muumin wa hiyo dini. Acha usoro
Wewe unaonekana kuwa na uelewa mdogo sana.

Nimekuulizwa swali, hujajibu unaanza kuleta maelezo mareeefu yasohitajika.

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe unaonekana kuwa na uelewa mdogo sana.

Nimekuulizwa swali, hujajibu unaanza kuleta maelezo mareeefu yasohitajika.

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaniuliza swali la dini ambayo hainihusu ulitaka nikujb nn, Nshakustukia unafikiria kwa kutumia makalio hivyo sitaendelea kubishana na na ww Bashite
 
Unaniuliza swali la dini ambayo hainihusu ulitaka nikujb nn, Nshakustukia unafikiria kwa kutumia makalio hivyo sitaendelea kubishana na na ww Bashite
Ewe kijana wa bwn. mudy, ni kwanini usijibu swali unaloulizwa?
 
Prove kauli yako

Kunamwanamke sudan alitaka kunyongwa kwa kuolewa na mkristo. Alipona baada ya internation community kuweka pressure serekali ya sudani isitekeleze azabu. Huko pakistan, aflighanistan na saudi awacheleweshi kuchinja
 
Hii bahati imenipita tatizo umri
 
Ukiona mtu anataka kuolewa na mtu wa miaka 35+ maana yake huyo anatafuta aliyenijenga katika maisha! Hayuko tayari aanze maisha kuanzia chini pamoja na mwenzake. Vinginevyo angesema kuanzia miaka 25- 30!
 
Mkuu mbona ueleweki nimeona mweupe.. Muislamu mtalajiwa sheria yani vurugu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…