Niko tayari kuolewa na muislamu

ndio shida wa wa Tanzania...sijui tupoje anyway nashkuru kwa ku comment
Memez
UsilaumubWatanzania wote kwa kosa la mtu mmoja au hata wakiwa 20,000. Kumbuka Watanzaniabtuko 40-50 millioni.
Wewe na mimi tukiwamo, nina uhakika mimi siko hivyo.
Hili kosa linafanywa na watu wengi sana, inaudhi.
Nakuunga mkono kwenye kusudio lako,
 
Wewe ni muislam?kama ni muislam hairuhusiwi kufanya hicho unachokifanya!
 
Hakuna uharam wakumuoa mkristo kisheria labda mazoea tu ndio yanaonekana kuwa ni dhambi
 
Kunamwanamke sudan alitaka kunyongwa kwa kuolewa na mkristo. Alipona baada ya internation community kuweka pressure serekali ya sudani isitekeleze azabu. Huko pakistan, aflighanistan na saudi awacheleweshi kuchinja
Sasa kwani Tanzania ni Sudani? Weka relevant facts.
Mbona uzungumzii kuuawa kwa vikongwe na zeruzeru(albino), hao wanauawa na muslim?.
Acha kuwa na akili fupi, kama nya wa mwisho.
 
Mpeni mume muislam nafsi imependa. Dunia iko sawa ila binadam........
 
Mimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.

Hakuna Mkristo anayeweza kukiri kutaka kufungiwa nira na shetani!.
 
Makanjanja utatukubali? Na ulivyo sheria wazifahamu itakuwa bora kwangu... Njoo pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…