Niko tayari kusaidia tukapata our own product to export to European countries!

Niko tayari kusaidia tukapata our own product to export to European countries!

wabuyaga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,681
Reaction score
588
Ndugu wana JF ninaomba kama kuna mtu/watu ambao wako tayari kushirikiana na mimi ili tupate product made in Tanzania by tanzanian na iwe katika standard za viwango vya ulaya ili tukauze Ulaya!!

Mimi mwenyewe ninaishi Ulaya na ninafanya kwenye kampuni zao hapa Ujerunmaini kwa hiyo kama mtu au watu wako tayari nitakuwa tayari kuachana na hawa jamaa ili nilite hii technollogy nchini tuweza na sisi kutengeneza vitu vyetu for the worls market! Hii inawezakana kabisa

Here is my contact email: wabuyaga58@gmail.com

Nitafurahi kwa mawasiliano.
 
Which product au ni bidhaa zipi ni most wanted for the markets in german
 
MKUU wabuyaga Umeleta habari njema watu wanata maelezo yakutosha naona umeingia MITINI njoo tena unyooshe mambo kikieleweka pipo wapige kz!
 
Back
Top Bottom