Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Babu yangu aliwahi kutengenezaHuyo jamaa ni noma sana alishawahi kutengeneza machine ya kusababisha Earthquake miaka hiyo.
Uzi umekosa wachangiaji ,ttzo hata Nikola mwenyewe hakuchambua uhusiano wa hizo tarakimu na ulimwengu.How dare we,hata kama ipo kwenye slogan ya Jf.Were we dare
Jamaa umenichekesha aiseeee.Itasaidia tatu mzuka!!🙂