Kweli mkuu,napinga sana wanasiasa kuwa na sauti wakati ni wapiga bla blaa tuHizi ndio tunu za dunia
Inasikitisha watu wapumbavu ndio wanaopewa promo duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hilo ndio tatizo la Dunia ya sasa,tunawapa madaraka WanasiasaKweli mkuu,napinga sana wanasiasa kuwa na sauti wakati ni wapiga bla blaa tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Mara ya kwanza nakutana na huyu jamaa nchini Serbia alinishangaza sana kwa jinsi alivyokuwa mbunifu wa hali ya juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hta kwenye mziki hili lipo, Mondi anaimba upumbavu upumbavu et ndo anaependwa wakati Kuna watu wanaimba vtu serious kabisa ila hawatambuliwi.Hizi ndio tunu za dunia
Inasikitisha watu wapumbavu ndio wanaopewa promo duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiboko yao ni planks..achana na hilo jitu...
Hivi....
Vp kuhusu sisi watu weusi, kuna yeyote aliyewahi kututambulisha ktk uvumbuzi
Ndio mkuu yupo tena mbongo anaitwa ONTARIO alivumbua forex bongo
Kipindi hicho watu weusi tulikua tunafanya Nini?