Hahaha maswali siyapendi yale unaweza angalia ukazani angle ni 90 kumbe 0.Nakumbuka magnetic flux. Maswali yake usipoelewa kama hii ni parallel au perpendicular basi imelikosa
actually kwanza zilikua ni topic za mwisho. kichwa kilikua kimejaa maconceptHahaha maswali siyapendi yale unaweza angalia ukazani angle ni 90 kumbe 0.
Anyway jamaa namwelewa sana kwny mathematic
Vp kuhusu sisi watu weusi, kuna yeyote aliyewahi kututambulisha ktk uvumbuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Licha ya kwamba Nicola Tesla alikufa akiwa masikini, kwangu ni tajiri wa ajabu.
Katika kipindi Cha maisha yake kulikuwa na matajiri wengi, lakini hamna hata mmoja ambaye alifanya Jambo muhimu kwa dunia Kama alivyofanya Nicola Tesla
Dah,continue R.I.P MlengeExactly. Mwisho wa maisha ya mtu hapimiwi kwa mali za dunia alizoziacha. Bali hupimwa kwa idadi ya maisha ya watu aliyoyagusa, namna alivyoyagusa, na kumbukumbu aliyoiacha.
Matokeo yake walio wengi waliotanguliza mbele mali kuliko utu, hujikuta wako watupu kiroho, na huziona mali zao hazina maana kuliko matendo ya utu, wakati mwingine wakiwa wamechelewa.
NB: Kutafuta mali ni muhimu. Lakini kusizidi utu.
Kabisa kakaKuna waliosoma Sayansi na wakaielewa na Sayansi yenyewe ikawaelewa na kuwakubali halafu kuna waliosoma Sayansi na kuikariri vizuri, hawa waliokariri vizuri ndio hao tunawasikia wanatambia IDADI ya vyeti walivyo navyo but hawana chochote cha maana walicho gundua au hata ku develop wazo Fulani la Kisayansi