Nikon Professional Camera za kisasa bei nafuu mno.

router

Member
Joined
Mar 23, 2016
Posts
88
Reaction score
72
Habari wanajamvi, mimi ni mdau mpya katika uwanja huu, huwa ninafuatilia yanayoendelea hapa kila ninapopata nafasi (mara nyingi hua ninasafiri ndani na nje ya nchi) nimejifunza mengi hapa.

Nina Proffesional Camera Mpya, Nikon D3300, D5100, D5200. Ninaziuza kwa bei nafuu sana kwa atakaehitaji tafadhali ani-pm au anitafute hapa 0758 020250.

Zipo chache sana. Karibuni sana.





 
bei nafuu sana ndio nini, kwa nini usiweke bei kwa kila model tujipime kabla ya kupiga sim
 
d5200 unauzaje mkuu na hzo cam ni mpya(boxed)?
 
D5200, 1,050,000. ila bei inapungua kidogo.
 
Gamaha nimekuelewa D5200, 1,050,000. D5100-1,000,000/ D3300 - 900,000/ bei inaweza kupungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…