Nikuandikie nini? Itakugharimu kiasi gani?

The BornAgain

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2024
Posts
428
Reaction score
582
Sio wote tunajua umhimu wa WRITEUPS za kimkakati na kimaendeleo hasa katika kuleta ukamilifu wa WAZO lako. Wengi tuna mawazo mazuri sana kichwani ila yako random..ndipo inapokuja HAJA ya kuandika kimpangilio wenye MANTIKI. Wazo likiandikwa huleta mtiririko sio kwako tu hata kwa wadau wengine ..mana hakuna mradi au biashara isiyo kuwa na wadau wengine nje yako.
LEO NAWEKA KAZI KADHAA TU NA WASTANI WA GHARAMA ZAKE:

1) PENDEKEZO LA MRADI/PROJECT PROPOSAL ..Wazo lolote Tsh 500,000

2) DHANA YA MRADI/CONCEPT NOTE ..Wazo lolote Tsh 200,000 (hufanyika kama proposal lakini sio kwa ukamilifu) lengo lake ni kutoa utangulizi na Summary ya proposal.
3) BUSINESS PLAN /MPANGO WA BIASHARA ..wazo lolote Tsh 1,500,000 plus kutegemeana na thamani ya mradi Lengwa.

4) FEASIBILITY STUDY/UPEMBUZI YAKINIFU kwa miradi ya kimkakati na kimaendeleo inayohusu uwekezaji. Gharama hutegemea ukubwa wa kazi ila ni asilimia 5-10 ya thamani ya mradi pendekezwa.
5) MONITORING AND EVALUATION/KUFANYA TATHMINI NA UFUATILIAJI WA HATUA ZA MRADI. Gharama hutegemea mradi ulipo na hatua ngapi za kufanya zoezi hilo na mda wa kwisha kwa mradi.
6) ANDIKO LOLOTE UTAKALO TUKIJADILIANA TUTAJUA TUANDIKE NINI NA GHARAMA GANI.

Contact: 0786094141 whasap only
 
Mmmmh haya
 
IA inatusaidia kumaliza kila kitu hadi tendo la ndoa kwa sis wanaume tulio buys
Ni sahihi. Wengine hata hio AI hawajui na hawawezi itumia..tunawasaidiaje? Lkn pia business plan ya AI unahitaji kuwa na deeply studied facts or findings particularly to your business idea....lazima uwe na inputs..so kwa asiyejua hata hio bado itamsumbua, na AI hiatamjibu maswali au kumfundisha maudhui yaliyoandikwa. ..kwaivo bado Mtu halisi atapswa kuandaa business plan yake based on primary and secondary data kufuatana na uhalisi na sio kubuni tu.
 
Sio wote tunajua umhimu wa WRITEUPS za kimkakati na kimaendeleo hasa katika kuleta ukamilifu wa WAZO lako. Wengi tuna mawazo mazuri sana kichwani ila yako random..ndipo inapokuja HAJA ya kuandika kimpangilio wenye MANTIKI. Wazo likiandikwa huleta mtiririko sio kwako tu hata kwa wadau wengine ..mana hakuna mradi au biashara isiyo kuwa na wadau wengine nje yako.
LEO NAWEKA KAZI KADHAA TU NA WASTANI WA GHARAMA ZAKE:

1) PENDEKEZO LA MRADI/PROJECT PROPOSAL ..Wazo lolote Tsh 500,000

2) DHANA YA MRADI/CONCEPT NOTE ..Wazo lolote Tsh 200,000 (hufanyika kama proposal lakini sio kwa ukamilifu) lengo lake ni kutoa utangulizi na Summary ya proposal.
3) BUSINESS PLAN /MPANGO WA BIASHARA ..wazo lolote Tsh 1,500,000 plus kutegemeana na thamani ya mradi Lengwa.

4) FEASIBILITY STUDY/UPEMBUZI YAKINIFU kwa miradi ya kimkakati na kimaendeleo inayohusu uwekezaji. Gharama hutegemea ukubwa wa kazi ila ni asilimia 5-10 ya thamani ya mradi pendekezwa.
5) MONITORING AND EVALUATION/KUFANYA TATHMINI NA UFUATILIAJI WA HATUA ZA MRADI. Gharama hutegemea mradi ulipo na hatua ngapi za kufanya zoezi hilo na mda wa kwisha kwa mradi.
6) ANDIKO LOLOTE UTAKALO TUKIJADILIANA TUTAJUA TUANDIKE NINI NA GHARAMA GANI.

Contact: 0786094141 whasap only
Sio wote tunaojua uliko?!
 
Back
Top Bottom