Nikueleweje mwenzangu wewe...

...acha kujipa presha bana.

Unaogopa kivuli chako?
Akikwambia ni mimba jua 'unauziwa mbuzi kwenye mfuko wa Rambo'
Labda kama akwambie ni muathirika, hapo itabidi tu ufanye appointment ANGAZA.

Anyway, ...akiwa tayari atakwambia. Relax.
 
Hapa Mentor utahaha bila jibu maana yote ni assumptions. B patient hapa time ndo rafiki, atapokea tu simu eventually na utajua ni hasa tatizo...
 
exactly wat i was thinking, but si aniambie tu!?? ki kweli am nt ready kuwa baba but the suspense is too much, ama unaonaje wewe!??
du kumbe ndani ya 2 wiks unaeza jua....!????

You should think twice kuhusu hiyo statement before you do sex bila kinga..However, itakuwa ni suala lingine na she's trying to get your attention..Na kama mimba kuna sa inawezekana hivyo relax and let nature take place🙂)
 
Never again Pauline, infact nimeamua NO SEX TILL MARRIAGE!

...ha ha ha! Unacheza wewe...ati? Never again wakati ushaonja 'nyama ya mtu?'..haiachiki hiyo!
Utastahmili sana miezi mitatu kisha wazimu unakurudia upya. Anyway, tumia Kinga bana.
Inaepusha na mengi.

Pole sana.

Hapokei simu kwa kuwa ana regret ku xxx na wewe. Were you too pushy? I mean inawezekana was not in her plan na anajutia alichofanya kwa sasa.

You should think twice kuhusu hiyo statement before you do sex bila kinga..However, itakuwa ni suala lingine na she's trying to get your attention..Na kama mimba kuna sa inawezekana hivyo relax and let nature take place🙂)

I know...lakini haikuwa thaaaaat planned!!!!
 
...ha ha ha! Unacheza wewe...ati? Never again wakati ushaonja 'nyama ya mtu?'..haiachiki hiyo!
Utastahmili sana miezi mitatu kisha wazimu unakurudia upya. Anyway, tumia Kinga bana.
Inaepusha na mengi.

Pole sana.

NEVER..and I mean it! tungekuwa tunafahamiana ungeprove mwenyewe...!
 
Hapokei simu kwa kuwa ana regret ku xxx na wewe. Were you too pushy? I mean inawezekana was not in her plan na anajutia alichofanya kwa sasa.

Sababu kubwa iliyopelekea iwe so easy kulala naye ni she used to fell me back in school. I remember nlikuwa nafanya maths tutorials in their class...but i never knew. So, tulivyomeet it was more of finalizing...no pushing, no forcing, so automatic...and well unplanned!!!!
 
anataka kukwambia kwamba anakuja ulipo next week so kaa mkao wa kula...kama big belly hawezi kuhold hivyo...
 
Utujuze hiyo 'important news' ukishaongea nae..naona presha inakupanda na kushuka, leo unalo!!

Message receive at 11:26, "Hi, sry cnt hear u. Its no bg deal..kant confirm, relax!" na amezima simu..
i think she s jus palying wwith my mind...am going to sleep!!!
ucku mwema..
 
Message receive at 11:26, "Hi, sry cnt hear u. Its no bg deal..kant confirm, relax!" na amezima simu..
i think she s jus palying wwith my mind...am going to sleep!!!
ucku mwema..

Du!..kakuacha njia panda kweli, msubirie akutafute..
Utalala kweli leo hivi uko stressed?sali kabla hujalala..Take it easy!!GN
 
anataka kukwambia kwamba anakuja ulipo next week so kaa mkao wa kula...kama big belly hawezi kuhold hivyo...

Hata mimi nilikuwa na mawazo kama haya, ataanza ohh, Mentor Mama amenituma kuleta mzigo (hapo ulipo) hivyo nitakuwa maeneo hayo kwa wiki moja, kama unataka tuonane sema, nitakutafuta nikifika... LOL!!!
 
Nimependa kwenye pink
 
kitu mimba hicho
 
Acha pressure labda anakustua 4 nothing..
Coz she just want to see your reaction..
mchezo huo upo sana.. relax ngoja mpaka
uwambiwe ndo uanze kupandisha madadi....
 
kwanini asubiri uwe on line si angetext tuu kwa cm?mmmh haya..si vema kudhani vitu visivyodhaniwa uwe mpooole utaambiwa mpendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…