Nikumbusheni jama, hivi wachaga wamewahi kupambana vita yoyote na wakoloni?

mandokwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
620
Reaction score
865
Leo wakati naangalia tukio la kurudi ccm wanachama-madiwani wa chadema nikapata swali la kujiuliza... hivi wachaga na waarusha wamewahi kutoa watemi au machifu wenye nguvu?
Nawaona wadhaifu sana kwamba wanasalim amri kirahisi tu.... sijawahi kusoma popote wababe wa kichaga au kiarusha kama ninavyomsoma mkwawa, isike nakadhalika....

Endeleeni kujivua uchadema na kesho akija mbabe mwingine mtajipeleka kwake....
 
Tatzo ulkua kiraza au mtoro shule utakumbukaje vitu kama hvyo......walkuepo watu kama mangi meli mangi sina wa kibosho ambao walimpinga mjeruman mwanzo mwisho, unapouliza ktu ucjfanye unajua na ku make conclusion kama hawakuepo wakt historia ya tz inawakumbuka watu sengi kutoka kaskazin
 
Leo wakati naangalia tukio la kurudi ccm wanachama-madiwani wa chadema nikapata swali la kujiuliza... hivi wachaga na waarusha wamewahi kutoa watemi au machifu wenye nguvu?
Nawaona wadhaifu sana kwamba wanasalim amri kirahisi tu.... sijawahi kusoma popote wababe wa kichaga au kiarusha kama ninavyomsoma mkwawa, isike nakadhalika....

Endeleeni kujivua uchadema na kesho akija mbabe mwingine mtajipeleka kwake....
Achana kabisa na mashemeji zangu,hawa ni wapambanaji sana,katika kila sekta elimu,uchumi,
Wachaga inabidi waombwe,wafanye makazi karibu kila wilaya,kuanzia mbozi mpaka mbogwe,msalala,nanyumbu,kuna maeneo watu wamelala sana,akifika mchaga,atawafanya waamuke na wazione fulsa
 
Tatizo sio wachaga ni huko arusha ambako hawajitambui wana njaa ya Akili na tumbo pia
 
Achana kabisa na mashemeji zangu,hawa ni wapambanaji sana,katika kila sekta elimu,uchumi,
Wachaga inabidi waombwe,wafanye makazi karibu kila wilaya,kuanzia mbozi mpaka mbogwe,msalala,nanyumbu,kuna maeneo watu wamelala sana,akifika mchaga,atawafanya waamuke na wazione fulsa
Ilikuwa zamani jombaa, kwa utawala huu wa sasa watu walioathirika zaidi ni wachagga. Anawatoa kwenye nafasi za uongozi kwa hila, maduka mengi yamefungwa kwa hiyo wao walitakiwa kuwa wa kwanza kujua hii serikali haina maslahi kwao na kupambana. Ila ndio hivyo wamejisalimisha wakidhani wako salama. Kwa mtazami wangu mtu yoyote ambaye ni anti business ni adui wa wachagga. Serikali ya awamu ya tano ni anti business
 
Leo wakati naangalia tukio la kurudi ccm wanachama-madiwani wa chadema nikapata swali la kujiuliza... hivi wachaga na waarusha wamewahi kutoa watemi au machifu wenye nguvu?
Nawaona wadhaifu sana kwamba wanasalim amri kirahisi tu.... sijawahi kusoma popote wababe wa kichaga au kiarusha kama ninavyomsoma mkwawa, isike nakadhalika....

Endeleeni kujivua uchadema na kesho akija mbabe mwingine mtajipeleka kwake....
Wewe huwajui wachaga, hivi katka historia je, kuna msukuma yeyote aliwahi pambana na mkoloni akampiga?
Hebu jibu hili kwanza...
 
Leo wakati naangalia tukio la kurudi ccm wanachama-madiwani wa chadema nikapata swali la kujiuliza... hivi wachaga na waarusha wamewahi kutoa watemi au machifu wenye nguvu?
Nawaona wadhaifu sana kwamba wanasalim amri kirahisi tu.... sijawahi kusoma popote wababe wa kichaga au kiarusha kama ninavyomsoma mkwawa, isike nakadhalika....

Endeleeni kujivua uchadema na kesho akija mbabe mwingine mtajipeleka kwake....

Ulienda shule kusindikiza wenzako, Mtanzania wa kwanza kwenda kuomba uhuru UN alikua mmeru.
Kaskazini kulikua kuna Mamangi wa kutosha na wanaojielewa ndio maana kumeendelea.
 
Ila hao wapuuzi wanaorudi ccm siwapendi kishenzi wanadhalilisha kaskazini ila kama wanapokea PESA toka kwa hao wapuuuzi haina kwere waendelee tu kupokea tena liwe dau NONO
 
Ilikuwa zamani jombaa, kwa utawala huu wa sasa watu walioathirika zaidi ni wachagga. Anawatoa kwenye nafasi za uongozi kwa hila, maduka mengi yamefungwa kwa hiyo wao walitakiwa kuwa wa kwanza kujua hii serikali haina maslahi kwao na kupambana. Ila ndio hivyo wamejisalimisha wakidhani wako salama. Kwa mtazami wangu mtu yoyote ambaye ni anti business ni adui wa wachagga. Serikali ya awamu ya tano ni anti business
Naomba tu nikupe pole kubwa kama unadhani kuna mchaga amekimbia biashara. Kufunga duka na kuacha biashara ni vitu viwili tofauti kabisa.
Chunguza vizuri huyo aliyefunga duka kwa sasa anafanya biashara gani.
Hapo ndio utajua akili ya mchaga ilivyo kubwa na miles kadhaa mbele.
Endelea kujifariji kuwa wachaga wamepata pigo kwenye biashara.
 
My great great grand father was in Mangi Sina army and fought the Germans....
 
Inaonekana ukweli unaujua ila unajifanya. Haiwezekani akina Isike unawajua ila wa Kaskazini huwajui
 
Sasa kama huko mnasema historia inawabeba kupitia mangi sina na wenzake mbona wajukuu zao mmekuwa laini kiasi hicho? mnanunuliwa kwa punje za karanga? nini kimewakuta jamaa?
 
Walikuwepo bhn kina mangimeli wa kibosho kibololoni na mangi sina
 
Kaa ukielewa CHADEMA ilianzishwa na wachaga, wewe ni mfuata upepo tu
 
Back
Top Bottom