Nikumbusheni radio inayocheza mziki wa Country and soul

Nikumbusheni radio inayocheza mziki wa Country and soul

vibesen xxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
3,187
Reaction score
6,620
Kuna jamaa moja anaitwa felix alton huwa anacheza mziki mzuri wa country n soul siku za jumapili ila natafuta simpati

Ni muda sikwepo

Nimetune redio zote sijapata


Atakuwa redio gani huyu mwamba kwasababu anajua sana mziki mzuri na masimulizi ya hapa na pale
 
Japo Sijajua Upo Mkoa Gani Muda Kidogo Tbc Walikuwanacho Ila Sikisikii
Radio A FM
Kuna Television Inaitwa K24 Nao Wanacho Kipindi Cha Country
 
Chukua kingamuzi cha zuku au DStv utalipata radio ya country tupu.
Kama vipi zidownload YouTube zimejaa tele
 
Suluhisho hapo ni dstv kuna redio zinaplay aina nyingi tu za miziki non stop wanakuwekea na playlist kabisa
 
Back
Top Bottom