Kuna jamaa moja anaitwa felix alton huwa anacheza mziki mzuri wa country n soul siku za jumapili ila natafuta simpati
Ni muda sikwepo
Nimetune redio zote sijapata
Atakuwa redio gani huyu mwamba kwasababu anajua sana mziki mzuri na masimulizi ya hapa na pale