mimi huyu huyu
Member
- Feb 8, 2015
- 88
- 34
Nakumbuka kuna kipindi diamond alipotoa ile Mbagala kuna msanii flani alilalamika kaibiwa naye akatoa yake inayofanana na Mbagala. . Hivi alikuwa ni nani yule? Na yupo wapi siku hizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ali Kiba
Ali Kiba
Acha uongoHuyo simkumbuki ila kuna hii mdogo mdogo Q chilla alisema kaibiwa yeye na hadi na yeye akatoa yake japo kuna kundi kubwa sana liliibuka la kudai yanaibiwa nyimbo na DIAMOND.
Number One - Dayna Nyange, Pasha, Baba Levo kila mmoja alisema kaibiwa sa sijui ilikuwaje, mmoja kasema aliibiwa biti, mwingine melody na mwingine mistari. kweli Diamond anajua kuiba lol
hahahahahahaha nimecheka saaana kuna mpuuzi mmoja facebook anasema ameibiwa UTANIPENDA hahahaha
duh,huy ndo kachanganyikiwa mazima,c bora ata angedanganya kamuuzia idea na baadhi ya mistari diamond!hahahahahahaha nimecheka saaana kuna mpuuzi mmoja facebook anasema ameibiwa UTANIPENDA hahahaha