Nikumbushwe: Aliyeibiwa wimbo na Diamond (Mbagala)

Joined
Feb 8, 2015
Posts
88
Reaction score
34
Nakumbuka kuna kipindi diamond alipotoa ile Mbagala kuna msanii flani alilalamika kaibiwa naye akatoa yake inayofanana na Mbagala. . Hivi alikuwa ni nani yule? Na yupo wapi siku hizi?
 
unataka jina na unataka alipo,daaah,umenikumbusha kale ka msemo eti"umepewa lifti unataka upige na honi"
 
Huyo simkumbuki ila kuna hii mdogo mdogo Q chilla alisema kaibiwa yeye na hadi na yeye akatoa yake japo kuna kundi kubwa sana liliibuka la kudai yanaibiwa nyimbo na DIAMOND.
 
Huyo simkumbuki ila kuna hii mdogo mdogo Q chilla alisema kaibiwa yeye na hadi na yeye akatoa yake japo kuna kundi kubwa sana liliibuka la kudai yanaibiwa nyimbo na DIAMOND.
Acha uongo
 
Number One - Dayna Nyange, Pasha, Baba Levo kila mmoja alisema kaibiwa sa sijui ilikuwaje, mmoja kasema aliibiwa biti, mwingine melody na mwingine mistari. kweli Diamond anajua kuiba lol
 
ha ha ha aliyeibiwa alikuwa na wimbo huo huo mmoja tu.. kama kweli alikuwa mkali hadi kuibiwa why asitoe nyimbo kali tumpime na mwizi wake..

maana mwizi anakimbiza tu kila siku track mpya na kali kupita ya jana
 
Number One - Dayna Nyange, Pasha, Baba Levo kila mmoja alisema kaibiwa sa sijui ilikuwaje, mmoja kasema aliibiwa biti, mwingine melody na mwingine mistari. kweli Diamond anajua kuiba lol

hahahahahahaha nimecheka saaana kuna mpuuzi mmoja facebook anasema ameibiwa UTANIPENDA hahahaha
 
Duh huyu aliyeibiwa utanipenda ni kiboko,manake na yeye history yake kama diamond sasa,cos wimbo kajiimba mwenyewe so jamaa anatisha sana
 
hahahahahahaha nimecheka saaana kuna mpuuzi mmoja facebook anasema ameibiwa UTANIPENDA hahahaha
duh,huy ndo kachanganyikiwa mazima,c bora ata angedanganya kamuuzia idea na baadhi ya mistari diamond!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…