Nikumbushwe Mnyama ana viporo vingapi, tafadhali

Ya leo hiyo
Unafanyaje kuattach video halaf ije nzima kama hii pic yako ya msimamo tofauti na nlivyofanya mimi imekuja bila kufunguka 1kwa1. Hii mpaka mtu adownload ndo aone inakuwa haivutii bhana
 
Unafanyaje kuattach video halaf ije nzima kama hii pic yako ya msimamo tofauti na nlivyofanya mimi imekuja bila kufunguka 1kwa1. Hii mpaka mtu adownload ndo aone inakuwa haivutii bhana
Kwa vdeo ukiattach lazma iwe hivyo mkuu labda kama umeweka liñk ya youtube. Picha ùnaattach tu kawaida
 
Wote vura mna jadir af mnajipongeza
 
Wakati ule si mliona viporo vina faida sana kwa Yanga mpaka mkagomea kucheza mpaka hapo Yanga atakapocheza viporo vyake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kugomea kwao ligi hadi Yanga imalize viporo vyake ilisaidia kutupa ubingwa.
Yanga ilimudu kula viporo vyake bila ajizi.

Wakati wakiwa "likizo" eti kwanza Yanga imalize viporo vyake, walipoteza match fitness. Waliporudi likizo wakawa mdebwedo.

Yanga haiwezi kufanya upuuzi kama ule was kuongozwa na akili kama za Haji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…