Nikuongeze Bia?

Nikuongeze Bia?

Masaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,463
Reaction score
754
Huyu jamaa kwa mashairi ni kiboko! 🙂
 

Attachments

hahaaaa kwenye pombe kuna mengi..............
 
aah wonderful photo/kibonzo
weekend mwanana na kabia bariidi.
 
Nipe moja moto moja bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiid
 
heheeeee yaelekea huyo jamaa aikuwa anatafuta jinsi ya kutongoza, si unajua shughuli hiyo nayo huwa pevu yahitaji mazoea. imeniacha hoooi hiyo design ya kutongozea, lakini katumia nguvu nyingi bureee hawa ni wale 'by click' unampata
 
Back
Top Bottom