Nipe namba zake nimpe madini, asiwe hivyoKwema wakuu.
Mke wangu mtarajiwa nimemwambia siku nakuvisha pete ya uchumba utapiga goti, kanijibu nikupigie goti kwani nakuomba nini? Hii imekaaje! Noamba kuwakilisha.
Kwanini sasa😨Noo lazima unil down bu
Kwani kuna magoti yapiYapi
ni culture na ishara ya kuwa submissive kwangu😊Kwanini sasa😨
Nisipopiga kinatokea nini?ni culture na ishara ya kuwa submissive kwangu😊
Tutapiga magoti wote😊Nisipopiga kinatikea nini?
unataka wambea tukose cha kusimulia, sio vizuri bwanaKuvalishana pete ni utamaduni wa wazungu ambao hauwezi kufanya kazi kwenye mazingira ya kiafrika ila unalazimishwa tu.
Sitafanya huo ujinga, nitapeleka wazazi wangu na washenga tutoe mahari tujitambulishe kisha nimepeleke mke nyumbani wamjue,
Mambo mengine kama pete, ndoa za kanisani na sherehe hayana msingi ni kufuata mkumbo
Hapo sawa😎Tutapiga magoti wote😊
Hapana mkuu,unataka wambea tukose cha kusimulia, sio vizuri bwana
Kwahiyo hujui, basi anahaki ya kukuuliza kwani anakuomba nini...Ungekuwa wewe ungempa jibu gani?
Maafa yamekuwepo tangu enzi na enzi pengine mara baada ya maisha kuanza kjwepo hapa nchini. Kumbukumbu zinaonesha maafa ya mwanzo hapa afrika ni yale yaliyoandikwa katika vitabu vitukufu ambapo dunia ilipelekewa moto na gharika wakati wa enzi za nabii Nuhu. Gharika hilo lilisababisha mafuriko na maji kujaa katika uso wa afrika ambapo nabii nuhu aliweza kunusurika pamoja na kizazi chale kwa kujiandaa kutengeneza meli au merikebi.Kwema wakuu.
Mke wangu mtarajiwa nimemwambia siku nakuvisha pete ya uchumba utapiga goti, kanijibu nikupigie goti kwani nakuomba nini? Hii imekaaje! Noamba kuwakilisha.