Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Chukua timu wwIfike mahali Mo Dewj aache ulimbukeni, utoto na upumbavu wake. Kama hatoi ushirikiano mfukuzeni na hakuna kumlipa hata 100, tangazeni nafasi kwa matajiri wasio na pesa za mawazo. Si unajua pesa za ukoo zinazoidhinishwa na shangazi mtu ni ngumu.
Aaaa wapi.Hamna mahela ninyi.Mtawalisha wachezaji mahindi ya kuchoma yaliyopakwa chumvi na limao.Aache ujuha atuachie timu yetu
Wewe utaweza kununulia wachezaji hata glucose kwenye game Moja tuAache ujuha atuachie timu yetu
hahaha we jamaa ni falaAaaa wapi.Hamna mahela ninyi.Mtawalisha wachezaji mahindi ya kuchoma yaliyopakwa chumvi na limao.
Bando lenyewe mpaka uende tigo kukopa halafu unabana pua atuachie timu yetuAache ujuha atuachie timu yetu
Acha ku_complicate mambo kwani glucose ni shingapi?Wewe utaweza kununulia wachezaji hata glucose kwenye game Moja tu
Mo aachwe aendeleze mambo.Sisi kazi yetu kelele tu.hahaha we jamaa ni fala
Jibu swaliAcha ku_complicate mambo kwani glucose ni shingapi?
Pitisheni jina langu tu maana nilishawahi kuwadhamini kwa miaka kadhaa na kipindi kile timu ilikuwa vizuri, mlivyonifukuza mkaingia mkataba na mbet mambo yakabadilika.Chukua timu ww
Kama nakuona ndugu Fadlu Ukifukuzana na Conte.Hiyo mikataba inayovunjwa kwa wachezaji kuondoka unalipa were
Safari hii file la usajili Simba alijavuja wachambusi uchwara waangaika
Mimi niliwaambia na naawambia kila siku kama Kuna dume la mbegu Lina bilioni 100 liende Dubai likaonane na dewji amuachie timu ..tofaut na hapo watu watulize mapumbuAaaa wapi.Hamna mahela ninyi.Mtawalisha wachezaji mahindi ya kuchoma yaliyopakwa chumvi na limao.
Hapo mwisho umeandika "hashua" au "vifuko vya kutunza unga wa mihogo"!?π«Έπ«·ππππMimi niliwaambia na naawambia kila siku kama Kuna dume la mbegu Lina bilioni 100 liende Dubai likaonane na dewji amuachie timu ..tofaut na hapo watu watulize mapumbu
Kwamba ameweka bilioni 100 Simba?Mimi niliwaambia na naawambia kila siku kama Kuna dume la mbegu Lina bilioni 100 liende Dubai likaonane na dewji amuachie timu ..tofaut na hapo watu watulize mapumbu
Narudia,,,kama Kuna dume la mbegu Lina bilioni 107 Tsh liende likaonane na Mo akiwa dubei ..Yani wakianza kuongea amwekee mezani cheki ya bilioni 107 ndio waanza mazungumzo...tofaut na hapo watu watulize makalio watulieKwamba ameweka bilioni 100 Simba?