Pangah2011
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 260
- 218
Jamaa anajiamini sana hapa imenibidi niangalie mechi moja ya marudio ya man-u vs arsenal, so far unatumika mpira mmoja japo kuna mda mpira unatoka nnje lakini camera haionyesha kama umerudi ndani au la
Kwahiyo mkuu mpira ni mmoja tu mwanzo mwisho kama hauja pata tatizo ?Ni kweli, kama mpira utapata hitilafu hubadilishwa na refa kupitia yule kamisaa wa mechi, hawana ball boys kule! Ndio maana mechi inapoanza kwa wenzetu mpira unakuwa pale kwenye entrance, refa anauchukua na kwenda kukipigisha!
Yaani kama nikweli bado sija elewa mantiki yao maana hilo suala la kutumia mpira mmoja tu sidhani kama lina nogesha ligi.wanaloga ili ligi yao iwe maarufu duniani na hizo ndizo mbinu za kiuchawi za hao wajamaa
ukipigwa ukaenda kule wanakokaa mashabikiNi kweli, kama mpira utapata hitilafu hubadilishwa na refa kupitia yule kamisaa wa mechi, hawana ball boys kule! Ndio maana mechi inapoanza kwa wenzetu mpira unakuwa pale kwenye entrance, refa anauchukua na kwenda kukipigisha!
Kama unaangaliaga mechi, wenzetu wastaarabu, wanairudishaga mpira! Sio sheria kuwa ni LAZIMA watumie mpira mmoja, nafikiri ni utaratibu wao tu, mida fulani huwa unatoka nje refa anapewa mpira mwingine na kamisaa! Hii ni kwa uingereza, sijajua kwingine!ukipigwa ukaenda kule wanakokaa mashabiki
Angalau naweza kushawishikaNi hv...waliamua kutumia mpira mmoja ili ikitokea mtu akafunga Hat-trick apate mpira ule ule aliopiga hzo goli tatu maana baadhi ya wachezaji walilalamikia ilo swala (Christiano Ronaldo ndio alikua chanzo kipindi yupo England) so wakaweka iyo sheria.
Haimaanishi kuna mpira mmoja tu uwanjani ila unaotumika katika mechi nzima ni mmoja na ukitoka unasubiliwa huo huo mpaka urudishwe na wenzetu ni wastaarabu sana ukitoka wanaurudisha fasta uwanjani na mpira unaendelea. Ikitokea umepata itilafu kama mechi ya juzi ya Spurs vs Arsenal mpira ulipata itilafu ukawekwa mwingine.
Na swala la ball boys wapo sana na ndo wanachukua mipira na kurudisha. Ni hayo tu.
Tunaanza kushawishika kwa pamoja ila bado
Haiwezekani watumie mpira mmoja, angalia mechi zingine wale ball collector wanakaa nao pembeni ukitoka anarusha alionao then anaufuata uliotoka.
khalfanshaban@gmail.com
nikweli kasababu nakumbuka mwaka 2012 mancity anachukua ubingwa kunadogo aliiba ule mpira baada ya mechi kuisha lakini polisi wa jiji la Manchester kesho yake wakamkamata na akarudisha mpira kwa mancityKama unaangaliaga mechi, wenzetu wastaarabu, wanairudishaga mpira! Sio sheria kuwa ni LAZIMA watumie mpira mmoja, nafikiri ni utaratibu wao tu, mida fulani huwa unatoka nje refa anapewa mpira mwingine na kamisaa! Hii ni kwa uingereza, sijajua kwingine!
Umeelezea vizuri, ila ball boys itabidi nichunguze tena, wale maNi hv...waliamua kutumia mpira mmoja ili ikitokea mtu akafunga Hat-trick apate mpira ule ule aliopiga hzo goli tatu maana baadhi ya wachezaji walilalamikia ilo swala (Christiano Ronaldo ndio alikua chanzo kipindi yupo England) so wakaweka iyo sheria.
Haimaanishi kuna mpira mmoja tu uwanjani ila unaotumika katika mechi nzima ni mmoja na ukitoka unasubiliwa huo huo mpaka urudishwe na wenzetu ni wastaarabu sana ukitoka wanaurudisha fasta uwanjani na mpira unaendelea. Ikitokea umepata itilafu kama mechi ya juzi ya Spurs vs Arsenal mpira ulipata itilafu ukawekwa mwingine.
Na swala la ball boys wapo sana na ndo wanachukua mipira na kurudisha. Ni hayo tu.
Kama wapo basi nakuaga bize sana kuangalia matukio ya ndani ya uwanja, cha msingi hilo sio swali alilouliza mleta mada, mpe jibu analotaka!Brother kweli wewe ni mshabiki wa soka? Ni kweli huwa unaangalia mechi za epl? Hakuna ball boys mechi za epl kweli? Au umejibu kwa lugha ngumu ambayo mimi siielewi? Au ndio umeamua kwa maksudi kumpoteza mleta mada?...kweli JF chiboko yao!
One. There is only one match ball, officially. All the other balls are just to help keep the game going by reducing the time the ball is in touch. The ball that the referee comes onto the field with, or leaves with is considered the matchball. That ball as a momento may be given to a player who scores a hat-trick. But the ball brought onto the pitch before the game starts, and the ball carried off by the referee at the end of the match, is the match ball.Haiwezekani watumie mpira mmoja, angalia mechi zingine wale ball collector wanakaa nao pembeni ukitoka anarusha alionao then anaufuata uliotoka.
khalfanshaban@gmail.com