Nikweli kwamba Wema Sepetu kakamatwa na Unga huko China???

Kitanzi noma!!!
Anawaza na kuwazua!!!

Hamna jinsi aende tu akamsalimie Ngweir
 
Wema: Hello!

Kiu: Hello! Nani mwenzangu?

Wema: Usijifanye sauti yangu umeisahau.

Kiu: Haa! Wema, vipi kuna mpya?

Wema: Niko China chini ya ulinzi, nimekamatwa na unga tangu Alhamisi.

Kiu: Sasa sisi tufanyeje?

Wema: Kichwa cha habari ndio hicho, habari nyingine we jaziajazia mwenyewe tu.
 
Ukifungua huko ndani utakuta, kijana wa kichina aitwaye Shivoo Unga amemkamata Wema mkono na kumvusha barabara huko China hii ni baada ya mrembo huyo kushindwa kuvuka kutokana na wingi wa magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…