Nikweli kwamba Wema Sepetu kakamatwa na Unga huko China???

Inshu ya diamond na hiyo ya mzee majuto kutotoa mmeiona lakin au nyie mmeona ya wema tu hapo @TeamManUnited
 
Nape mbona una fungia magazeti uchwara kulikoni hili?
 
Leo au sasa hivi?
Haya magazeti uchwara bila kina wema hawaendi chooni watoto wao
Sina hamu na magazeti ya udaku waliwahi andika johari yu hoi taaban kitandan hawezi nyanyuka wala kuongea jaman huwez amin gazeti la siku hiyohiyo nikamuona johar mbeya yuko anachukua kadi ya ccm mbeya ana afya yake tele niliacha kusoma udaku mimi
 
Akifanya hivyo itakula kwake maana magazeti ya udaku yakisusa kuandika habari zake atasahaulika.
hahaha si alianzisha undugu nao yeye mwenyewe kwa kuenda kuwahonga ili wampaishe? avumilie
 
Sina hamu na magazeti ya udaku waliwahi andika johari yu hoi taaban kitandan hawezi nyanyuka wala kuongea jaman huwez amin gazeti la siku hiyohiyo nikamuona johar mbeya yuko anachukua kadi ya ccm mbeya ana afya yake tele niliacha kusoma udaku mimi
Uliacha wewe mmoja lakini hawa jamaa wana audience kubwa sana na wenyewewe wanafurahia hilo.
Ndio maana wanaoiangalia jamii ya Kitz kwa ujumla wake wanasikitikia uwezo wetu wa kuchanganua mambo na utata katika preferences zetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…