Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Leo nilikuwa kwenye daladala kutoka magorofani kwenda mwenge, nikakuta kuna mjadala unaouhusu ni lugha ipi nzuri kati ya kiswahili na kiingereza yenye kufikisha ujumbe na mtu akakuelewa vizuri.
Jamaa m1 akasema ukimwambia mtu msichana/mvulana NAKUPENDA au kumwambia I LOVE U ni lugha ipi kati ya hizo atafeel kumjali? I miss u, ooh dear na maneneno kama hayo kwa kiswahili ni lipi linafikisha ujumbe na mtu akajiona unamjali?...
Si lazima iwe kwenye mahusiano. Ni lugha ipi tamu kati ya kiswahili na kiingereza yenye ladha tamu mdomoni? linapokuja swala la majadiliano, tamthilia, na vitu kama hivyo?