Nikweli lwakatale kafutiwa mashitaka ya ugaidi?

JOEL HB

Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
19
Reaction score
7
Nimesikia mtaani wakisema mkurugenzi wa usalama wa CHADEMA kafutiwa mashitaka ya UGAIDI. habari hizi zinaukweli wowote?
 
Karibu sana mkuu hapa JF,kweli katoka.
 
Karibu sana JF...ni kweli kafutiwa, una undugu naye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…