Nikweli masister du hawapendi watu wajue kama wana watoto?

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,368
Je nikweli masister du hawapendi watu wajue kama wana watoto? kwani nimelisikia kwenye kituo kimoja cha redio nikaona niweke humu Jf ili masista du na wote mnaowajua masista du mtujuze kama kuna ukweli ndani yake

nawakilisha
 
Mukubwa! Kwani hilo ni la kuuliza? Ni kama vile wauliza msuli (kikoi) Pemba! .
Eeebwanae mimi my Uncle alioa kabisa mke tukijua (akijua) ni fresh kumbe kwao ameacha mtoto na mtoto huyo kuanzia infant alishawekewa a certain protocoal kwamba mamie amwite Aunt.
Aidha mtoto afanyiwapo practise tangu utoto lazima iwe hivyo.
Siri hiyo tumekuja kubaini wakati mtoto wa kwanza kwa mwanamke huyo aliezaa na mjombaangu keshafika form 1 wakati yeye mwanamke firstbone wake yuko UDOM, sasa hii ni moja bt there so much cases abt this circumstance!
 
Asilimia kubwa huwa wanaficha ingawa wapo wachache ambao huwa wakweli.
 
Masista duu ni watu wa aina gani?
 
Masista du hua hawataki hata watu wajue kwamba hua wanaosha vyombo au kupika sembuse kuwa na mtoto?
 
Mbona hilo wengi ndo wanafanya hivyo yan wanaficha kama wana watoto
 
duh, kaaazi kweli kweli
ila ngoja nitafute definition ya sista du!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…